Maeneo ya biashara Mbezi Louis stendi mpya walengwa ni kina nani?

Pote panafaa....ila unaijua hotel ya nyota 5 mkuu?? Uje kutujengea sisi wapanda maabus hotel ya nyota 5???

Kwanini usijenge ma apartments za ghorofa maeneo hayo utapata sana pesa
kumbuka kwa sasa jiji limehamia maeneo hayo, lkn pia kumbuka stendi hiyo ni kubwa na ni yakimataifa, inahudumia nchi zaidi ya kumi na mikoa yote hivyo lazima wageni wa kimataifa wanao taka kulala ktk hoteli zenye hadhi hiyo watapatikana, hivyo sio lazima mgeni aende mjini....hukuku lazima apate huduma zenye viwango.
Stendi ya mbezi ni fursa kubwa sana kwa maeneo hayo
 
Mkuu unajua hotel yenye hadhi ya 5 star kweli na gharama zake zikoje?
 
Hata kama waje steers au subway,,kwa kodi hiyo,pale itabidi chips yai iuzwe 10,000,,sasa nani atakula?,hakuna manantilie ataweza kuuza wali maharage alioe pango hapo,.
Watu watakula nje ya uzio na wataingia stand washashiba
Kabisa mkuu.....ngoja niwaletee ya sehemu ya kufungua bar mtashangaa
 
Hua wanasoma upepo wanapunguza...hata hapo mbezi wanasubiri makampuni yakishachukua zitakazo baki raia watakuja kupata kwa bei ya wastani japo haitokua haba
Sasa hiyo ni bad strategy,,kawaida mwekezaji unamvuta kwa bei ya chini,akishajaa ndo unaanza kumpandishia kutokana na mzunguko wa biashara,kama anamake money atalipa tu,
Rock city mall walujichanganya pia kuanza na bei kubwa,,matokeo yake,nafasi bado ziko wazi leo mwaka wa 8.
Poor strategy
 
Hata kama waje steers au subway,,kwa kodi hiyo,pale itabidi chips yai iuzwe 10,000,,sasa nani atakula?,hakuna manantilie ataweza kuuza wali maharage alioe pango hapo,.
Watu watakula nje ya uzio na wataingia stand washashiba
Ni kweli kabisa

Kingsmann
 
Wachukue fremu wabetishaji wale wanaweza kulipa, anyway mama ntilie watatupisha mule waende na majiko yao ya mkaa wakatuaribie stendi si atutaki uo ujinga,

Gharama lazima ziwe kubwa maana ulinzi ni juu yao,labda usafi umoumo,maji,na wateja kujisaidia ,

Pale patakua na mzunguko mkubwa wa pesa trust me mbezi itakua hapatoshi, njia ya mpigi magoe ikiewekwa lami nayo ndo watu kutoka bagamoyo watakuja kushop hapo,n.k

Kwa ufupi mlimani city itadorora
 
Mkuu unajua hotel yenye hadhi ya 5 star kweli na gharama zake zikoje?
najua sana tatizo wewe unaona hiteli ya hadhi ya nyota 5 haiwezi kujengwa nje ya mji! umezoea kuona hoteli hizo masaki, lkn pia inawezekana kujenga maeneo hayo na wataja wakapatikana tena wengi sana,
nataka kuwekeza hoteli au sehemu ya michezo ya watoto kama ilivyo Fumba zenji.
 
Eneo la bar hiloo..lipo floor ya nne juu kabisa kule, haya wenye mtonyo wanakaribishwaa
Screenshot_20201119-143743_Chrome.jpg
 
najua sana tatizo wewe unaona hiteli ya hadhi ya nyota 5 haiwezi kujengwa nje ya mji! umezoea kuona hoteli hizo masaki, lkn pia inawezekana kujenga maeneo hayo na wataja wakapatikana tena wengi sana,
nataka kuwekeza hoteli au sehemu ya michezo ya watoto kama ilivyo Fumba zenji.
Mkuu embu fanya research kidogo usifikiri hoteli ya five star ni jengo tu basi ..hizo hadhi zinakuwa categorized dunia nzima sio bongo tu, Ni viwango vya dunia nzima usidhan unajenga tu kisha unijipa hadhi ya kuwa five star hotel.
 
kumbuka kwa sasa jiji limehamia maeneo hayo, lkn pia kumbuka stendi hiyo ni kubwa na ni yakimataifa, inahudumia nchi zaidi ya kumi na mikoa yote hivyo lazima wageni wa kimataifa wanao taka kulala ktk hoteli zenye hadhi hiyo watapatikana, hivyo sio lazima mgeni aende mjini....hukuku lazima apate huduma zenye viwango.
Stendi ya mbezi ni fursa kubwa sana kwa maeneo hayo
Uongo kama raisi wako magu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
najua sana tatizo wewe unaona hiteli ya hadhi ya nyota 5 haiwezi kujengwa nje ya mji! umezoea kuona hoteli hizo masaki, lkn pia inawezekana kujenga maeneo hayo na wataja wakapatikana tena wengi sana,
nataka kuwekeza hoteli au sehemu ya michezo ya watoto kama ilivyo Fumba zenji.
Kwa akili zako hz ...hela ya kuwekeza sijui umeipatje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nataka kuwekeza hoteli yenye hadhi ya nyota 5 maeneo karibu na maeneo hayo ya stendi ya mbezi mwisho, naomba ushauri kati ya;
1. Luguruni
2. kibamba
4. Kiluvya gogoni
wapi kati ya maeneo hayo panafaa zaidi?
1
 
Back
Top Bottom