Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #81
Kushangaa vitumbili na vingedere piaMkoani tena na VIBE?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kushangaa vitumbili na vingedere piaMkoani tena na VIBE?
Haya ndio mambo tunayoyatakaTwiga bar
Secret bar
California bar
La place
Savanna bar
Babloon bar
Royal club,
Na Kuna Moja uhindini
Mkuu hivi maisha ya Iringa DC yapoje kwa mtu anayetaka kula bata na kupumzika kidogo huko, naomba jibu lako mkuu.Nenda Miami night Club, au kule Miyomboni. Kuna ka bar fulani hivi kako ghorofani. Kuna siku nilienda kuchungulia, halafu nikaondoka.
Pia jirani na chuo cha Rucu kuna Bar moja nayo iko na vibe sana! All in all, ukiwauliza Bodaboda, watakufikisha kwenye machimbo yote.
Hizi biashara huwa zinachangamoto sana, huwa zinaenda na msimuUpepo ulikata
Essence ipo mbali sana kule mzee Idara ya maji kabisa kuleJiran na Rucu in Essence, pale miyomboni ni WarmUp alafu Mlandege ni Miami... Nimepita kote huko aisee....
friend of urs where is she, fat fat big big 😀 😀Huku Zenji hiyo 1200 ongeza 0 nyingine
Hatari sanaZilipita na upepo wa Magufuli lapart imekuwa kanisa
Li
Hilo la muhimu sanaMuhimu uvae ndom tu bloangu
ha ha ha sawa sawaHuku Zenji hiyo 1200 ongeza 0 nyingine
Maisha ni matamu sana hapo mjini, kama walivyosema baadhi ya wadau hapo juu. Huo mji umechangamshwa sana na uwepo wa vyuo vikuu vingi.Mkuu hivi maisha ya Iringa DC yapoje kwa mtu anayetaka kula bata na kupumzika kidogo huko, naomba jibu lako mkuu.
Hakuna shida, si itakuwa pamoja na VAT?Kamaanisha 10,000×20 Mzee=200,000/=
Huyo Equation x ni bahili Sana,juzi tu alikuwa analalamika mambo ya kutuma nauli,shuka 20 si atazimia huyu😔😔Ushindwe wewe tu Equation x fanya kweli aisee.
Na huko wilayani ukiacha Iringa mjini je huko Iringa District kuna vibe au mpka Iringa manispaa tu?Maisha ni matamu sana hapo mjini, kama walivyosema baadhi ya wadau hapo juu. Huo mji umechangamshwa sana na uwepo wa vyuo vikuu vingi.
Hotel, Lodge, Guest House; zote zipo za kutosha. Kama unapenda utalii, Hifadhi ya Ruaha ipo jirani! Hali ya hewa usiku ndiyo huwa ni ya baridi. Ila mchana, jua linawaka kama kawaida.
Ipo maeneo ya town au nje ya mjini?Ila Essence nayo ni kali tu kwa vijana walevi walevi pembeni yake niliona kama Liquor store
Hicho kisiwa kina sifa gani ya upekee?Iringa nenda hapo vibanda mkabala na CCM Mkoa. Kula kitimoto. Binafsi ndoto yangu ni kufika Lupita Island ndani ya Ziwa Tanganyika.
Napajua na penyewe sijui panaitwaje vile pale sijawah kukaa mkuuEssence ipo mbali sana kule mzee Idara ya maji kabisa kule
RUCU labda anazungumzia Pub moja mpya mpya ipo RETCO mule ndani