Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 6,976
- 7,726
Kwani Iringa kuna mademu huko kuna wanawake wanaoweza kuzaa tu basiShida ya Iringa ni uhaba wa madem, ila kwa viwanja huwa napenda kukaa WarmUp (Zamani palijulikana kama shooters) atleast kuna vibe standard, ila kiwanja cha Miami huwa naona hakina tofauti sana na Lambo bar ya manzese. Kitimoto huwa natafuna kwa geofrey hapo vibanda vya Ccm. Mji wa Iringa una hali ya hewa nzuri