Maeneo yapi yana vibe kwa Iringa?

Maeneo yapi yana vibe kwa Iringa?

Shida ya Iringa ni uhaba wa madem, ila kwa viwanja huwa napenda kukaa WarmUp (Zamani palijulikana kama shooters) atleast kuna vibe standard, ila kiwanja cha Miami huwa naona hakina tofauti sana na Lambo bar ya manzese. Kitimoto huwa natafuna kwa geofrey hapo vibanda vya Ccm. Mji wa Iringa una hali ya hewa nzuri
Kwani Iringa kuna mademu huko kuna wanawake wanaoweza kuzaa tu basi
 
Ukanda wote wa nyanda za juu kusini na mikoa yote ya kusini ni takataka, nachukia sana hii serikali kunipeleka huko ni sawa na kunipeleka jehanam, naomba tu Mungu aninusuru na huku.
Inabidi upambane uhame
 
Back in days tulikuwa tunaanzia mabanda ya CCM, then Miami halafu tunarudi kumalizia Ile club nimeisahau Iko ukitoka geti la Ruco upande wa pili wa barabara unashuka halafu unakata upande wako wa kushoto


Kuna yule alikuwa anajiita DJ Nas Kama sijakosea , aliwahi kunipora Dem baada ya kulewa na akaanza kuishi Kama digidigi na baadae kumtumia G kuja kuniomba msamaha wakati Dem mwenyewe alikuwa ni side chick tu wa Tumaini Univ..

Wapi my friend Eddo wa Ebony Fm
Kitambo sana Iringa.
 
Karibu mkuu,
Nipo ipogolo kili time hapa.
Sio haba sana as you know it's a Tuesday very tough
Kuna watoto wazuri ila wadau naona wote tunakunywa kali tu hapa

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
😀😀 nipo na profesa mmoja hapa karibu na maeneo ya chuo, ananipa nasaha zake, yeye anapiga safaria mimi nagonga kilimanjaro, anasema huu mji ni wamoto sana, niende kwa stepu.​
 
Kwa leo nimeenda warmup, miami,royal lakini mazingira si rafiki, nikaishia pale ccm kula mdudu na mvinyo, kwa summary naona pale penye mdudu ndio pako poa kiasi.
Kwa ujumla, ukanda huu hakuna pisi kali.
Njoo Ukwega wewe uje unywe Mbeta. Kuna viwanja na madem wazuri sana. Mi ndio naenda nyumbani sasa nimekesha nakula gambe la Ulanzi na wanzuki. Leo saa 3 nitakuwepo Kidamali nikipiga gambe. Tutafutane mkuu.
 
Back
Top Bottom