Mafanikio ya mwanamuziki Burna Boy, nini tunajifunza?

Wanigeria wamepenya katika media na maeneo muhimu ya entertainment duniani. Sasa hivi wana elimu na ufahamu wa kutosha kujua nini wanatakiwa wafanye muziki na wasanii wao wapenye katika masoko duniani.

Kuna sehemu Marekani nimeshangaa niliposikia muziki wa Nigeria unapigwa na watu wanapagawa kabisa. Juzijuzi nimeona wana hadi TV series zao BET.

Mwisho wa siku ni elimu bora kwanza asikudanganye mtu.
 
Huyu jamaa kwa kipindi kifupi ameweza kuwa mwanamuziki maarufu na mwenye mafanikio duniani. Kafanya shows nyingi, kajaza watu kwenye show zake na mengineo mengi.

Je, siri ya kufanikiwa kwake ni Kipaji au menejimenti inayojielewa? Miaka kama miwili au mitatu alifanya ngoma na Diamond pamoja na Harmonise lakini kwa sasa ukiwalinganisha unaona kabisa jamaa kawaacha mbali Diamond pamoja na Harmonise.

Na show yake kubwa ijayo ataperform kwenye fainali ya champions league mwaka huu. Je nini wanamuziki wetu wanatakiwa kukifanya kuweza kupata mafanikio haya? Maana naona wanigeria wako mbali sana. Mwaka jana Davido aliperfom kwenye fainali za world cup, Tems alishinda tuzo ya grammy na wengineo wanafanya vizuri kimataifa. Nadhani mawazo yetu yanaweza kusaidia wasanii wetu kukua zaidi kimataifa.
Tunajifunza u freemason haulipi.
 
Jamaa wanajituma sana na pia Burna ana Management inayojielewa ,FAMCHEZO na Diddy?
 
Kiwango cha mafanikio kwa mtu hakipimwi kwa kumlinganisha na mwezie kinapimwa kwa malengo aliyojiwekea na utekelezaji wake.

Kwenye mziki mipango mikubwa inahitaji mtaji mkubwa, wasanii wetu wanamitaji????

Mtu pekee ambaye tunawezasema anamtaji (diamond) ndohuyo kaamua kuugawa mtaji wake kwenye biashara na Mziki. Kama angewekeza kwenye mziki pekeake pengine angekuwa mbali zaidi ( na labda hili sio Lengo lake kuwekeza kwenye mziki pekeake)
 
Back
Top Bottom