Brig General Carlitos Way
JF-Expert Member
- Apr 27, 2009
- 1,601
- 3,658
Akina Brenda Fassie, Yvonne Chakachaka na wasouth wote wana nyimbo za kiingereza pia ndo maana muziki wao upo juu. Wakongo hawaimbi lakini muziki upo juu ila ni Africa tu, na kidogo ufaransa ambako wao wako wengi. Na matamasha yao mamtoni wanajaa waafrika tu lakini huwezi linganisha na matamasha ya wanaija wanajaa watu wote na hio ndio utofauti wa lugha unaingia hapo. Una wivu wa kike tuu lakini kimuziki Diamond yupo juu angeimba kiingereza wanaija wangeisoma namba.Hakuna cha kiingereza wala nini... muziki ni lugha ya dunia. Hata uimbe kwa kichina kama muziki ni mzuri utapenya tu. Kina Brenda Fassie, Yvone Chakachaka na wakali wengine toka SA wanaimba kiingereza? Wakongo je? Yousso Ndour? Hawa vijana wetu uwezo wao mdogo. Huyu Diamond kinachombeba ni ujanja wake mwingi wa kucheza na mitandao.