Kiongozi yeyote anayefikiria Chuki,Ubaguzi na Visasi ndivyo vitainua Uchumi atajikuta anatengeneza viwanda vya Chuki na visasi kila kukicha.

AKimaliza miaka 5 atapiga domo itaisha ,atataka kuongeza nayo itaisha na bado hatofanikiwa.Tutaishia kupigiwa makofi tu
 
Kazi ya Magufuli imekuwa ni kuzindua miradi iliyoanzishwa na mtangulizi wake, asiposituka mapema miaka mitano itaisha akifanya hafla za kuapisha ikulu na kupokea ripoti za makinikia.
 
Siku zote huwa nasema chadema ni stupid people, kwa hiyo unamuonya Raisi na Mwenyekiti wa CCM afanye vizuri? Nilifikiri kutokufanya kwake kitu ndo faida kwa chadema sasa iweje unataka ajirekebishe tena? Kuna kitu hakipo sawa na nyie watu!
Kwa maoni yangu: hili sio on yo Bali ni shauri, au maoni ya wazi kwa rais. Baada ya uchaguzi upinzani haupo hapa kwa ajili ya kupinga tu,.... Bali hata kushauri. Na hicho ndo alichofanya mleta bandiko.
 
Mi sipo upande wowote ila na suggest wanaopinga uzi waje na orodha ya aliyofanya ya mkuu ndo tutaenda sawa
 
Siku zote huwa nasema chadema ni stupid people, kwa hiyo unamuonya Raisi na Mwenyekiti wa CCM afanye vizuri? Nilifikiri kutokufanya kwake kitu ndo faida kwa chadema sasa iweje unataka ajirekebishe tena? Kuna kitu hakipo sawa na nyie watu!

Sasa mpumbavu kati yake na wewe ni nan hapo?

Hujui kama huyo ni raisi wa nchi akionywa ajirekebishe tunafaidika wote?

We bwege huu sio mpira tunashindana magol

Sikia we bwege hii ni nchi tunahitaji maendeleo

Umeelewa wewe bwege?
 
Hata akifanya utajua wakati unaendelea kukariri vimemo vya mnunuzi wako wa MB?
 
Kazi ya Magufuli imekuwa ni kuzindua miradi iliyoanzishwa na mtangulizi wake.

Naona umeurudia Upumbavu / Upopoma ule ule ambao nimetoka ' Kumkosoa ' hapo mwana CHADEMA mwenzako. Kwa akili zenu hizi tu nyie ' wawakilishi ' wachache wa CHADEMA humu ' Jamvini ' ama hakika CCM yangu / yetu itatawala Tanzania hata kwa miaka 30,000 ijayo. Badilikeni na acheni ' majungu ' na ' fitna '. Rais Dkt. Magufuli anaenda vizuri na wenye ' akili ' tunamuamini.
 
Sasa mpumbavu kati yake na wewe ni nan hapo?

Hujui kama huyo ni raisi wa nchi akionywa ajirekebishe tunafaidika wote?

We bwege huu sio mpira tunashindana magol

Sikia we bwege hii ni nchi tunahitaji maendeleo

Umeelewa wewe bwege?

Chadema ni stupid people, huwezi kutaka mtu ambaye unategemea kujinadi kwa kushindwa kwake kutekeleza ahadi ajirekebishe na kufanya vizuri jambo ambalo litafanya kazi yako iwe ngumu zaidi!
 
Kwa maoni yangu: hili sio on yo Bali ni shauri, au maoni ya wazi kwa rais. Baada ya uchaguzi upinzani haupo hapa kwa ajili ya kupinga tu,.... Bali hata kushauri. Na hicho ndo alichofanya mleta bandiko.

Lkn Upinzani unaweza tu kufanikiwa kwa kushindwa kwa CCM kutekeleza ahadi, hivyo kutaka wajirekebishe ni kukata tawi ulilokalia na ndiyo maana nasema ni stupid people!
 
[/QUOTE]
Unahisi kwa hayo mazuri uliyoyataja babu yangu wa anayepatikana ktk kijiji cha Kyampisi Bukoba vijijini ndani na kaka yangu anayepatikana katika kijiji cha Mwakaleli kule Mbeya wamefaidika nayo vp?!!!
 
Samahani mkuu, miye natoka Kibondo Kigoma. Sijawahi kuuona huo mradi wa kuunganisha barabara za wilaya ya Kibondo Kigoma. Ukitaka kuunganisha barabara kutoka wilaya ya Kibondo kwenda mpaka Tabora ni lazima upitie wilaya ya Kasulu (km 150, barabara ina vumbi la asili tangu kuumbwa ulimwengu), Kasulu Uvinza (Km76, vumbi tangu kuumbwa ulimwengu), Uvinza mpaka Kaliuwa (sifahamu urefu wake, pana lami iliyowekwa kipindi cha uongozi ulipita kuanzia Daraja la Maragalasi mpaka umbali wa kwenda kama dak.45, kisha kuna vumbi mpaka Kaliua, mpaka Urambo)....

Barabara ya Nyakanazi Kakonko ilianza kujengwa kwa kiwango cha lami zaidi ya miaka 12 iliyopita, haijamalizika, barabara ya Kasulu Kigoma, kuanzia Nyumbigwa,ilianza kujengwa miaka 10 iliyopita, haijakamilika, bado kuna miaka labda mitatu mbele ili ziishie, toka Kakonko mpaka Nyumbigwa ni zaidi ya miaka 15 tunasikia barabara itajengwa lami.

My take: Tuzungumze ukweli, tuache ubabaishaji wa kitanzania katika kutenda, maana inaonekana mtu alkitamka ati ametenda!!
 
Kuongezea serikali mapato kutoka kwenge mgodi wa Barrick kwa share 16% na kugawana faida 50% 50%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…