Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Kuna mtu kakopa kumzidi mungu wenu wa Chato? Au unadakia tu hoja ya mikopo?Kwa spidi ya mikopo isokuwa na tija muda sio mwingi watarudi hao waliokufundisha kiingereza utapewa namba yako na kukabidhiwa shamba ….ndio tutajua manufaa ya hicho kiingereza unachokiona mali…