Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021
Kweli kabisa ashukuriwe Mungu

IMG-20220513-WA0023.jpg
 
Magufuli hajasari nje ya Africa na wala hakupandisha ghalama za maisha lakini................👇
1. JPM anajenga Reli ya Mwendo kasi – SGR.
2. JPM anajenga Bwawa la Umeme – Nyerere HydroPower.
3. JPM amenunua Ndege 13 aina tofautitofauti.
4. JPM amejenga Ikulu kule Dodoma na yale Magorofa ya Wizara kule Mji wa Serikali Dodoma ( Mtumba) Magufuli City
5. JPM amehamisha Makao Makuu ya Serikali na ameijenga Dodoma imekuwa Jiji
6. JPM amejenga FlyOver Dar es Salaam pale Ubungo na TAZARA.
7. JPM amejenga daraja la Tanzanite pale Selander.
8. JPM ametengeneza huu Mfumo wa Kompyuta wa Malipo ya Serikali.
9. JPM alikuwa anaweka umeme hadi Vijijini (kwa Tsh. 27,000/= tu.)
10. JPM ameshawishi Bomba la Mafuta kutoka Uganda lipite Tanzania.
11. JPM anajenga daraja la Kingongo Ferry Busisi kule ziwa Victoria.
12. JPM amejenga Meli kubwa mbili mbili kila ziwa, yaani Ziwa Victoria 2, Ziwa Tanganyika 2 na Ziwa Nyasa 2.
13. JPM amejenga Hospital za Kanda kubwa nne… Dodoma, Mara, Mtwara, Geita na Songea
14. JPM amejenga Hospitali za Wilaya Zaidi ya 70
15. JPM amejenga Mradi Mkubwa wa Maji ya Victoria kule Tabora
16. JPM amejenga Mradi wa Maji Mkubwa Arusha
17. JPM amejenga Barabara ya Njia Nane Dar es Salaam hadi Kibaha
18. JPM alikuwa anajenga Mizani za Kisasa kabisa Kwenye Barabara zote kubwa
19. JPM amejenga Vituo vya Afya Zaidi ya 500
20. JPM amejenga na Kununua Rada 4 za AirPort
21. JPM amejenga Viwanja vya Ndege Mara, Iringa, Mbeya, Chato, Songea na Rukwa
22. JPM amejenga Masoko ya Madini kila Mikoa yenye migodi ya madini
23. JPM amejenga ukuta wa Mirerani na kuweka Camera za Ulinzi
24. JPM amejenga Bandari Kilwa, na kuzipanua Bandari Mtwara, Tanga na Dar es Salaam
25. JPM amejenga Masoko ya Kisasa zaidi, ya maana kama Dodoma, Morogoro, Dar es Salaam
26. JPM amejenga Bus Stand za Kisasa Zaidi mikoani kama Dodoma, Morogoro, Dar es Salaam
27. JPM amenunua Vifaa Tiba kama MRI, CT Scan, Vifaa vya Kufanyia Oparations za Moyo pale JKCI Wagonjwa wanatoka nchi jirani kuja kutib
Simba?Atakuwa Simba wa familia yako.Hamnaga akili.Kazi kusifia wanaume tu.Guniooo!
 
Ni kweli kabisa,ila alikopa sana,na ameua,amepoteza watu sana,ila alikuwa anafaa sana,ilibidi tuendelee nae hata kwa miaka 10,tungekuwa kama china
 
Ushawahi kuona popote pale hata mafichoni tu raisi wa china akiongea Kiingereza mtumwa mweusi ww.... mbona huna hata akili za kuambiwa ili uchanganye na zako... mirad yote alihoitaja mshkaj ww umeona Kiingereza tu ndo dili... masikini ng'ombe wake hazai kwel...
Kwa mtu anayetoka Nchi iliyokuwa British Colony na akasoma mpaka Form IV tu hana EXCUSE ya kutoongea Kiingereza.

Huyo DIKTETA wenu kubalini alikuwa kichwa cha panzi ndiyo maana alikuwa Aisha anaongea broken English au aongee Kiswahili tu. Halafu anawadanganya ana PhD?
 
Hakusafiri lakini hao wa huko Ulaya na USA shughuli yake yaliipata vilivyo. English ni lugha tu kama kimakua au kiyao sema waliotutawala ndio wanaifanya ionekane ya maana.

Karume alikuwa baharia na hakusoma kabisa, lakini ameacha heshima kwao Visiwani.
Kama na wewe huwezi kuongea kiingereza fasaha nakupa pole sana, ila kama umeishia La Saba nakusamehe.
 
Nilikuwa nadhania ni mtu mzima lakini hapo ulipoandika kuongea kingereza fasaha nimegundua ni mmoja wa vijana wadogo wa mitandaoni.

Ma-cheki bobu wa kupiga selfie na kutupia mitandaoni.
 
Kwa mtu anayetoka Nchi iliyokuwa British Colony na akasoma mpaka Form IV tu hana EXCUSE ya kutoongea Kiingereza.

Huyo DIKTETA wenu kubalini alikuwa kichwa cha panzi ndiyo maana alikuwa Aisha anaongea broken English au aongee Kiswahili tu. Halafu anawadanganya ana PhD?

Kwa spidi ya mikopo isokuwa na tija muda sio mwingi watarudi hao waliokufundisha kiingereza utapewa namba yako na kukabidhiwa shamba ….ndio tutajua manufaa ya hicho kiingereza unachokiona mali…
 
"Tuna vita vya kiuchumi na wazungu tena mabeberu. Mabeberu sio watu wazuri" alisikika mjinga mmoja akiwaponda watu waliomuwekea betri kwenye moyo ili kuokoa maisha take.

Magufuli si mtu mzuri alisikika mburu ngeke mmoja aliekuwa anaamka saa tisa usiku kuchota maji halafu awahi kibarua posta kabla foleni haijakolea…
 
Kwa mtu anayetoka Nchi iliyokuwa British Colony na akasoma mpaka Form IV tu hana EXCUSE ya kutoongea Kiingereza.

Huyo DIKTETA wenu kubalini alikuwa kichwa cha panzi ndiyo maana alikuwa Aisha anaongea broken English au aongee Kiswahili tu. Halafu anawadanganya ana PhD?
Kingereza ndio nini? Ni maendeleo, chakula au ni nini hicho?

Unawajua wachina wewe?
 
Back
Top Bottom