Wa kumsifu ni mwenyezi Mungu pekee, tunampongeza kwa aliyoyafanya ila akubali anapokosea, He is not perfect
 
Hongera sana serekali ya awamu ya tano chini ya mwamba RaISI JOHN POMBE MAGUFULI kwahaya machache tulioshughudia na kujionea siku hizi tano zilizopita
1 Tumeshughudia Amani ikitawala kipindi cha mkutano wa SADC hatujasikia tukio lolote la uvunjifu wa amani ,Hongera sana jeshi letu la police Tanzania na vyombo vingine vya ulinzi na usalama ,Hongera sana mh Mkuu wa mkoa wa Dar es saalamu umefanya uhamasishaji wa hali ya juu kuhakisha kila Mtanzania anadumisha ulinzi hasa katika Jiji la Dar es saalamu
2 Hongera sana Raisi Magufuli kwakupigania lugha ya kiswahili hadi kua lugha rasmi katika jumuiya ya SADC, Sasa kiswahili nacho kitatumika kama lugha ya mawasiliano lakini pia hapo waalimu wengi watapata ajira kwenda kufundisha kiswahili katika nchi wanachama wa SADC
3, Jana tumejionea Waziri wa tamisemi kupitia ofisi ya Raisi mh Sulemani Jaffo akikabidhi magari ishirini na sita (26) kwa maafisa Elimu mkoa kwa mikoa yote Tanzania magari haya yaliombwa tangu serekali ya awamu ya nne, lengo la magari hayo nikufanya ukaguzi kwenye shule zetu na kujionea changamoto zinazokabili shule zetu Tanzania ,nakujionea mafanikio ya shule zetu , Hongera sana Raisi wetu kwa kuwapatia maafisa elimu magari haya ,Hongera sana waziri suleman jaffo tumeona juhudi zako katika wizara ya tamisemi kupitia ofisi ya Raisi .
 
Hoja namba 14 inaonyesha wazi ni jinsi gani huelewi amani na usalama kwa mapana yake. Huwezi kusema kasimamia katiba, amani na usalama ilihali kila kukicha waandishi wa habari wanapewa kesi zisizowahusu, wanatwkwa na kuteswa. Mfano mzurih Erick Kabendera na wengine. Achilia mbali mauaji ya raia kadhaa mkuranga, achilia mbali mashambulizi ya mauaji n. K. Sasa cjui hoyo amani na usalama inayoka wapih.

Mwalimu Nyerere aliwahi kusema Taifa haliwezi kuendelea bila kuwepo kwa Demokrasia. Na demokrasia aliyoisema nyerere ni uhuru wa kuhoji, uhuru wa habari n. K. Katika awamu hiii ni wazi amani, demokrasia na usalama kwa kiasi kikubwa umezorota. Rejea ripoti kutoka umoja wa ulaya na USA
 
Watu hawana shukrani bana!
Alikuwepo Mwalimu wakamwita Mchonga au Musa, au Haambiliki.
Akaja Mwinyi wakasema anaendeshwa na Mama Sitti.
Kaingia Ben jamaa hawakupumzika, wakasema ana kiburi, kauza nchi
Akaja Kikwete ndo kabisa wakasema kameza miguu ya kuku, Ikulu hakukaliki
Sasa yupo Bull Dozer wa maendeleo, mzee wa Push Up.
Reli tunaziona , barabara tunaziona, Airports, Ndege, Umeme na anakomesha ufisadi.


Nyie watu, muachieni bana, JPM apige kazi
 
Barabara 8 Kimara---kibaha
 
Yan nmesoma coment za wachache ila naona humu mnalopoka sana akili kdgo mno unafkr kuna atakae weza jenga kitu kwa hela zake za mfukon kwake au unafkr vikodi vyako unavyolipa kwa kuvutana vtaweza kujenga irad mikubwa ndan ya miaka mitano au angesimamisha mirad yote ilioanzishwa ili ajenge yake naapo siungeongea sana aloo umu vijana mnashida sana bola mkapewe mashamba mlimishwe tu sio mlime wenyewe maana wengi mambumbu. Ww ni muwakilish tu naongelea wengi umu jamii.
 

Mafanikio mengi hasa ya ujenzi ni zaidi ya muhula mmoja lakini wengine hapa mnafanya kama vile hivi vitu vyote ni awamu moja. World bank ndiyo hao hao wengine hapa wanawaita mabeberu hivyo tuseme basi daraja limejegwa na mabeberu
 
kuna mambo uwa yanakosa mwendelezo na waandishi wa habari sijui waoga.

kule lile sakata la CT SCAN sijui pale muhimbili kwa msukumo ule niliamini huenda gharama itashuka na walau kifaa hicho kitafungwa kila hospitali ya mkoa
 
Hii hali inanishangaza kila nikiingia jukwaa hili la siasa thread nyingi ni za kukosoa utendaji wa kazi wa rais magufuri mambo mengi yamekuwa yanaibuliwa hapa pamoja na hayo lakini uko mtaani asilimia kubwa ya wananchi wanasema rais wao mpendwa anapiga kazi anawabana mafisadi mabinti wa instagram na wakina mama ndo huwaambii kitu wao hawana harakati za kutaka kujikomboa wala hawana habari kuhusu siasa wameshamua kutanguliza mapenzi kwa chama cha mapinduzi ccm kama mshabiki wa timu ata timu ifungwe bado utabaki kuwa mpenzi tukigeukia upande wa mtandao wa facebook vijana wengi wanamkubali rais magufuri kwa kiasi kikubwa wanafikia hadi hatua ya kusema rais aendelee kuinyoosha nchi hadi 2035 hali hii inaweza kukushangaza kama wewe ni mtumiaji tu wa jamiiforum hasa hili jukwaa la siasa cha mwisho nachotaka kusema chadema wanasafari ndefu sana kuingia ikulu tofauti na watu wanavyozani ni kazi rahisi kuwashawishi wananchi pamoja na mapungufu yanayoonekana awamu hii
 
Mod wameshafanya yao😂
 
Hayo ni maneno yako wewe!!!!!
 
Uzi wangu hauhusiani na ushauri nashangaa tu wameunganisha huku
 
Habarini wanajamvi.....

Nimpongeze JPM Kwa kazi kubwa anazozifanya kupeleka Nchi mbele....

Kwa haraka haraka kumbe Tanzania siyo maskini tuna uwezo wa kufanya kila kitu mahospitali yanajengwa,barabara,ndege zinanunuliwa,Elimu bure Nchi nzima,madaraja yanajengwa hakika Tanzania tumepiga hatua kubwa sana...

CCM ndo chama pekee itakayowaletea wananchi maendeleo na siyo hivi vyama vingine vilivyojaa genge la wahuni
 
Haina haja ya kutumia nguvu nyiiingi kujinadi,kama hayo maendeleo yapo wananchi watayaunga mkono.Acha mti ujitukuze wenyewe kwa matunda yake.
Serikali hii ya awamu ya tano imefanikiwa sana kutekeleza miradi mikubwa wezeshi kiuchumi kwani miundombinu na maendeleo ni kama mishipa ya damu na cell ndani ya miili ya viumbe hai
 
Serikali hii ya awamu ya tano imefanikiwa sana kutekeleza miradi mikubwa wezeshi kiuchumi kwani miundombinu na maendeleo ni kama mishipa ya damu na cell ndani ya miili ya viumbe hai

haielekei kuwa na wewe ni mmojawapo wa hao watu unaowaita wenye "akili timamu" hata kidogo! jamani kichwa cha habari kirefu kuliko ufafanuzi wake?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…