huish tz xo tukaushie bhn ..hatutak kutukana bhn kwa huyo uchokoz wakoMwinyi,Mkapa,Kikwete hakuna hata mmoja aliyesifiwa akiwa madarakani.Wamemwagiwa sifa baada ya kuondoka.Alivyotukanwa Kikwete huwezi kuamini leo anasifiwa.Watamsifia Magufuli baada ya kuondoka.Kama kuna upungufu ni wa kibinadamu.Hakuna mkamilifu.Kama isingekuwa Magufuli nani basi mwingine anayefaa?.Wakati wa Uchaguzi Mkuu tulikosa.Hata sasa Mimi sioni mwingine.Anayemjua mwingine zaidi ya Magufuli anitajie.
Hopeless kabisa weweMwinyi,Mkapa,Kikwete hakuna hata mmoja aliyesifiwa akiwa madarakani.Wamemwagiwa sifa baada ya kuondoka.Alivyotukanwa Kikwete huwezi kuamini leo anasifiwa.Watamsifia Magufuli baada ya kuondoka.Kama kuna upungufu ni wa kibinadamu.Hakuna mkamilifu.Kama isingekuwa Magufuli nani basi mwingine anayefaa?.Wakati wa Uchaguzi Mkuu tulikosa.Hata sasa Mimi sioni mwingine.Anayemjua mwingine zaidi ya Magufuli anitajie.
Lengo lako hasa !!Mwinyi,Mkapa,Kikwete hakuna hata mmoja aliyesifiwa akiwa madarakani.Wamemwagiwa sifa baada ya kuondoka.Alivyotukanwa Kikwete huwezi kuamini leo anasifiwa.Watamsifia Magufuli baada ya kuondoka.Kama kuna upungufu ni wa kibinadamu.Hakuna mkamilifu.Kama isingekuwa Magufuli nani basi mwingine anayefaa?.Wakati wa Uchaguzi Mkuu tulikosa.Hata sasa Mimi sioni mwingine.Anayemjua mwingine zaidi ya Magufuli anitajie.
Siyo hoja ya kwako ndio hoja.Dah..... Ndiyo hoja hizi[emoji13] [emoji13]
Nadhani wanashirikiana na kina mtevu,idd from CHAMA DOLA maana nao walitajwa kama haoYale ya ufipa yako bize kuuza madawa ya kulevya
Mwinyi,Mkapa,Kikwete hakuna hata mmoja aliyesifiwa akiwa madarakani.Wamemwagiwa sifa baada ya kuondoka.Alivyotukanwa Kikwete huwezi kuamini leo anasifiwa.Watamsifia Magufuli baada ya kuondoka.Kama kuna upungufu ni wa kibinadamu.Hakuna mkamilifu.Kama isingekuwa Magufuli nani basi mwingine anayefaa?.Wakati wa Uchaguzi Mkuu tulikosa.Hata sasa Mimi sioni mwingine.Anayemjua mwingine zaidi ya Magufuli anitajie.
Mbadala wa Magufuli labda Bashite ndo anafaa.Kuna watu wameulizwa swali rahisi sana..nani mbadala wa Magufuli kwa sasa? Naona wanaishia kutoa povu. Magufuli kawashika pabaya..2020 mje humu tupime mafanikio ya Magufuli afu mtuambie nani anafaa . Roho zonawatika kila wakisikia Magufuli..Mwafaa.
Na haya ndio matatizo yenu vijana wa CCM. Nyerere hakuwahi kumchukia lowassa hata siku moja. Amchukie kwa kipi? Niletee ushahidi hapa kwamba nyerere alimchukia lowassa. Mnalishwa propaganda na mazee ya ccm na nyie mnakurupuka.Nyerere alimsingizia?.Nyerere kwa nini amchukie.Nyerere aliwahi kumuuliza swali gumu ambalo siwezi kulitaja hapa.Hafai na ndiyo maana watz walimkataa.Kampeni alianza mapema lakini akapigwa tu.
Kumbe JF ni ya ubaguzi.Basi haifai.Mi nilidhani mna mawazo huru,kumbe mnataka kusikia mawazo ya aina moja tu!.Last Activity:
15 minutes ago
Joined:
Yesterday
Messages:
10
Likes Received:
5
Trophy Points:
5
Liked:
0
Tutawajua kwa rangi zenu maana wengi mmeanza kujiunga juzi,jana na wengine leo , na wote mmekuja kwa kazi inayo fanana,HOMGERA naona mna change ID tu.
Hasa wale wenye vyeti feki kama BashiteKwa magufuli kila got litapigwa
Wapo pamoja na yule Prince wa mzee wa msogaNadhani wanashirikiana na kina mtevu,idd from CHAMA DOLA maana nao walitajwa kama hao
Unamaanisha nini kusifiwa na mataifa yote?Katika historia, Tanzania wala Africa nzima haijawai kupata rais anayesifiwa na mataifa yote ulimwenguni...Magufuli ni wa kwanza...ardhi ya tanzania imetoa zao linaloangaza na kutumika kama mfano dunia nzima...
ndugu urio wameru hawajawahi kuwa wajinga hivi!!? Hâta wavute bangi ya sing'isi. PoleMwinyi,Mkapa,Kikwete hakuna hata mmoja aliyesifiwa akiwa madarakani.Wamemwagiwa sifa baada ya kuondoka.Alivyotukanwa Kikwete huwezi kuamini leo anasifiwa.Watamsifia Magufuli baada ya kuondoka.Kama kuna upungufu ni wa kibinadamu.Hakuna mkamilifu.Kama isingekuwa Magufuli nani basi mwingine anayefaa?.Wakati wa Uchaguzi Mkuu tulikosa.Hata sasa Mimi sioni mwingine.Anayemjua mwingine zaidi ya Magufuli anitajie.
Wewe upo kimara bonyokwa unasema magufuli anasifiwa na mataifa yote. Tuulize sie tunaokaa ughaibuni ujue jinsi jamaa credibility yake ilivyokufa.Katika historia, Tanzania wala Africa nzima haijawai kupata rais anayesifiwa na mataifa yote ulimwenguni...Magufuli ni wa kwanza...ardhi ya tanzania imetoa zao linaloangaza na kutumika kama mfano dunia nzima...