Wala JF hawana tatizo wala ubaguzi ila ni ugeni wako ti ndio tatizo maana huelewi A wala Be. Upo upo tu.Kumbe JF ni ya ubaguzi.Basi haifai.Mi nilidhani mna mawazo huru,kumbe mnataka kusikia mawazo ya aina moja tu!.
we jamaa KMwinyi,Mkapa,Kikwete hakuna hata mmoja aliyesifiwa akiwa madarakani.Wamemwagiwa sifa baada ya kuondoka.Alivyotukanwa Kikwete huwezi kuamini leo anasifiwa.Watamsifia Magufuli baada ya kuondoka.Kama kuna upungufu ni wa kibinadamu.Hakuna mkamilifu.Kama isingekuwa Magufuli nani basi mwingine anayefaa?.Wakati wa Uchaguzi Mkuu tulikosa.Hata sasa Mimi sioni mwingine.Anayemjua mwingine zaidi ya Magufuli anitajie.
We unadhani leo hii kwenye suala la upatikanaji wa taarifa kuna tofauti kati ya mtu aliyeko kimara na sydney australia? Mimi niliopo kimara naweza nikapata taarifa iliyotekea mtaa wa tatu kutoka unapoishi wewe hapo Alexandria Egypt kabla hata wewe mwenyewe hujaipata...boy...open your narrow mindWewe upo kimara bonyokwa unasema magufuli anasifiwa na mataifa yote. Tuulize sie tunaokaa ughaibuni ujue jinsi jamaa credibility yake ilivyokufa.
Hahahaa, we msomali ni shida. Mi sipo Alexandria asee, nipo Lamu kwa baba moi.We unadhani leo hii kwenye suala la upatikanaji wa taarifa kuna tofauti kati ya mtu aliyeko kimara na sydney australia? Mimi niliopo kimara naweza nikapata taarifa iliyotekea mtaa wa tatu kutoka unapoishi wewe hapo Alexandria Egypt kabla hata wewe mwenyewe hujaipata...boy...open your narrow mind
Huo ndiyo ukweli ndugu yanguNaunga mkono hoja. Salute JPM
mmh!!!!Huo ndiyo ukweli ndugu yangu
Kutufikisha mahali si issue. Tatizo ni hapo mahali atakapolifikisha taifa.Binafsi nimefurahishwa na kasi ya Dkt. Magufuli. Naamini wapo pia wengi wanaoungana nami katika furaha hii. Magufuli ameanza kwa kasi ambayo kama ataimaintain, Tanzania haimalizi miaka mitano itakuwa tayari ni nchi yenye kipato cha kati.
Hata hivyo wapo baadhi yetu ambao wanakejeli kasi hiyo. Hao kwangu ni watu waliozoea ubwete na bora liende!. Wanamwona Magufuli kuwa ni mtu atakayekuwa kauzibe kwao!
Wapigaji wote, wavivu wote na wazee Wa madili wote watamchukia Magufuli ila mi niseme na niwaombe tu kwamba tumpe support huyu jamaa kiukweli atatufikisha mahali Fulani!
Tuwafichue wote wanapanga kumhujumu (najua wanajulikana), tuwakatae kwani hawana nia njema na taifa letu.
Uzi wa kitambo, nimeucheki leo na nimeulinganisha maudhui yake na matunda yaliyomea hadi sasa.Binafsi nimefurahishwa na kasi ya Dkt. Magufuli. Naamini wapo pia wengi wanaoungana nami katika furaha hii. Magufuli ameanza kwa kasi ambayo kama ataimaintain, Tanzania haimalizi miaka mitano itakuwa tayari ni nchi yenye kipato cha kati.
Hata hivyo wapo baadhi yetu ambao wanakejeli kasi hiyo. Hao kwangu ni watu waliozoea ubwete na bora liende!. Wanamwona Magufuli kuwa ni mtu atakayekuwa kauzibe kwao!
Wapigaji wote, wavivu wote na wazee Wa madili wote watamchukia Magufuli ila mi niseme na niwaombe tu kwamba tumpe support huyu jamaa kiukweli atatufikisha mahali Fulani!
Tuwafichue wote wanapanga kumhujumu (najua wanajulikana), tuwakatae kwani hawana nia njema na taifa letu.