swadakta jibu zuri sanakasome vizur MDG
Kasome vizur na uelewe MMAM
Soma vizuri maazimio ya Abuja juu ya bajeti ya afya na dawa kwa nchi za Afrika.
mengine muwe mnaongea mkiwa vyumbani
Tumezoea kuisikia misemo ya "wananunua ndege wakati vijijini hakuna huduma za hospital"
Najiuliza tu wapiga kura wakina mama na wazee kwenye hili wataanzaje kumnyima Magufuli kura 2020?
=====
Mhe. Rais Magufuli amefungua Kituo cha Afya cha Mbonde Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara. Ni moja ya Vituo vya Afya 13 vilivyojengwa Mkoani Mtwara katika Awamu ya Tano na ni miongoni mwa Vituo vya Afya 352 vilivyojengwa nchi nzima katika Awamu hii ya Tano.
Binafsi sitoshangaa, maana bwana mkubwa sikuzote huwa hataki kuangushwa! Elewa NEC wao ni kumfurahisha jiwe hata kama matokeo yatakuwa ya kupikwa.
kasome vizur MDG
Kasome vizur na uelewe MMAM
Soma vizuri maazimio ya Abuja juu ya bajeti ya afya na dawa kwa nchi za Afrika.
mengine muwe mnaongea mkiwa vyumbani
Asipozidi 100% ndo ntashangaa!
Nikupe gari nikulipe mshahara afu utangaze mpinzani kashinda!!!!??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo ni mabrasha tu hayana uhusiano wowote na utekelezaji wa maazimio hayo, au walitoa fedha za utekelezaji baada ya kuazimia?
Unaweza kukuta fedha zote ni za kusaidiwaSerikali itakuwa imejazia kwenye mradi mkubwa wa world bank. Tanzania ni nchi zilizokuwa kwenye pilot.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo mbona umempunguzia kura zake 0.09%?.
Kwa jinsi anavyopendwa na anavyokubalika, atashinda kwa 99.9%
PWanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je, tunarejea nchi ya chama kimoja?
Wanabodi. Hili ni bandiko la swali kuhusu Trend Reading. Wanaohamia CCM Wasibezwe, Wanaona Mbali, 2020 Majimbo Yote Kurejeshwa?, Jee Tunarejea Kuwa Nchi Chama Kimoja? Trend reading sio utabiri, bali ni matumizi ya analitical na logical thinking kwa kila jambo lililofanyika huangalii tuu hilo...www.jamiiforums.com
Kama hutaki kuangalia malengo, ili uweze kupima na kujua kama unapiga hatua kwa kasi inayotakiwa, hayo yote yatakuwa porojo. Wakati Tanganyika inapata uhuru 1961, idadi ya watu ilikuwa 12 million. Sasa hivi kuna watu 56 million. Kuna ongezeko kubwa la idadi ya watu karibu kila ngazi(Kijiji/Mitaa, Kata, Tarafa, Mijiji etc ) Kinachotakiwa ni kuangalia viwango vya uwiano na kasi yake ya kuongezeka na sio kushangilia namba/idadi tu bila uchambuzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi sitegemei hata kujiandikisha kwa sababu tayari nina kitambulisho cha Taifa na uzuri kitafikia ukomo mwaka 2026. Labda naweza kushawishika tena 2025 iwapo Mungu atanijalia uzima. Yaani polisi mwenyewe, mahakama ni wewe mwenyewe, hakimu ni wewe mwenyewe; halafu utegemee haki kutendeka! Poleni sana wapinzani.
Mkubali tu kujipanga ili muaminike na siku moja mje muiondoe hii ccm. Hakuna lisilowezekana.
Wewe ni Mungu unatabiri vipi wewe
Tumezoea kuisikia misemo ya "wananunua ndege wakati vijijini hakuna huduma za hospital"
Najiuliza tu wapiga kura wakina mama na wazee kwenye hili wataanzaje kumnyima Magufuli kura 2020?
=====
Mhe. Rais Magufuli amefungua Kituo cha Afya cha Mbonde Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara. Ni moja ya Vituo vya Afya 13 vilivyojengwa Mkoani Mtwara katika Awamu ya Tano na ni miongoni mwa Vituo vya Afya 352 vilivyojengwa nchi nzima katika Awamu hii ya Tano.
Chadema wanasubiri ugomvi ndani ya ccm ndio wapate mgombea wa urais duuh!
Sent using Jamii Forums mobile app
Idadi ya wapiga kura itapozidi asilimia 20 ya waliojiandikisha ndio ntashangaa.
Hilo swali lako la kipumbavu kamuulize chakubanga.