Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Binafsi sitegemei hata kujiandikisha kwa sababu tayari nina kitambulisho cha Taifa na uzuri kitafikia ukomo mwaka 2026. Labda naweza kushawishika tena 2025 iwapo Mungu atanijalia uzima. Yaani polisi mwenyewe, mahakama ni wewe mwenyewe, hakimu ni wewe mwenyewe; halafu utegemee haki kutendeka! Poleni sana wapinzani.
Mkubali tu kujipanga ili muaminike na siku moja mje muiondoe hii ccm. Hakuna lisilowezekana.
Mkubali tu kujipanga ili muaminike na siku moja mje muiondoe hii ccm. Hakuna lisilowezekana.