Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Binafsi sitegemei hata kujiandikisha kwa sababu tayari nina kitambulisho cha Taifa na uzuri kitafikia ukomo mwaka 2026. Labda naweza kushawishika tena 2025 iwapo Mungu atanijalia uzima. Yaani polisi mwenyewe, mahakama ni wewe mwenyewe, hakimu ni wewe mwenyewe; halafu utegemee haki kutendeka! Poleni sana wapinzani.

Mkubali tu kujipanga ili muaminike na siku moja mje muiondoe hii ccm. Hakuna lisilowezekana.
 
Idadi ya wapiga kura itapozidi asilimia 20 ya waliojiandikisha ndio ntashangaa.
 
Kwanini tushangae wakati hakuna lisilowezekana kwenye nchi hii?! Itategemea tu na maamuzi ya waamuaji.
 
Kwa maana yako ametumia ela yake ya mshahara kuvijenga hivyo vituo vya afya au ni kodi zetu wenyewe?
Tumezoea kuisikia misemo ya "wananunua ndege wakati vijijini hakuna huduma za hospital"

Najiuliza tu wapiga kura wakina mama na wazee kwenye hili wataanzaje kumnyima Magufuli kura 2020?

=====

Mhe. Rais Magufuli amefungua Kituo cha Afya cha Mbonde Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara. Ni moja ya Vituo vya Afya 13 vilivyojengwa Mkoani Mtwara katika Awamu ya Tano na ni miongoni mwa Vituo vya Afya 352 vilivyojengwa nchi nzima katika Awamu hii ya Tano.

In God we trust
 
Punda afe mzigo ufike
Binafsi sitoshangaa, maana bwana mkubwa sikuzote huwa hataki kuangushwa! Elewa NEC wao ni kumfurahisha jiwe hata kama matokeo yatakuwa ya kupikwa.

In God we trust
 
Huyo anaye vijenga katoa ela ya mshahara wake?mbona mnajitoa akili nyinyi kisa gani haswaa?
Hayo ni mabrasha tu hayana uhusiano wowote na utekelezaji wa maazimio hayo, au walitoa fedha za utekelezaji baada ya kuazimia?

In God we trust
 
Leo naona umeamua kuwacha uvivu
Hapo mbona umempunguzia kura zake 0.09%?.

Kwa jinsi anavyopendwa na anavyokubalika, atashinda kwa 99.9%

P

In God we trust
 
Mwambie huyo
Kama hutaki kuangalia malengo, ili uweze kupima na kujua kama unapiga hatua kwa kasi inayotakiwa, hayo yote yatakuwa porojo. Wakati Tanganyika inapata uhuru 1961, idadi ya watu ilikuwa 12 million. Sasa hivi kuna watu 56 million. Kuna ongezeko kubwa la idadi ya watu karibu kila ngazi(Kijiji/Mitaa, Kata, Tarafa, Mijiji etc ) Kinachotakiwa ni kuangalia viwango vya uwiano na kasi yake ya kuongezeka na sio kushangilia namba/idadi tu bila uchambuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app

In God we trust
 
Kumbe wanao kerwa na utawala mbovu ni wapinzani tu?
Binafsi sitegemei hata kujiandikisha kwa sababu tayari nina kitambulisho cha Taifa na uzuri kitafikia ukomo mwaka 2026. Labda naweza kushawishika tena 2025 iwapo Mungu atanijalia uzima. Yaani polisi mwenyewe, mahakama ni wewe mwenyewe, hakimu ni wewe mwenyewe; halafu utegemee haki kutendeka! Poleni sana wapinzani.

Mkubali tu kujipanga ili muaminike na siku moja mje muiondoe hii ccm. Hakuna lisilowezekana.

In God we trust
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hilo swali lako la kipumbavu kamuulize chakubanga.

Back
Top Bottom