Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Vichwa vimeliwa vya kutosha, mmoja aliponea chupuchupu baada ya kumiminiwa za kutosha
 
MUNGU NA WANANCHI WANAWEZA KUULAZIMISHA UWANJA KUWA SAWA, HAIJALISHI KAMA KUNA TUME HURU AU HAKUNA. MUNGU AKIAMUA ANATIA AKILI VICHWANI MWA WATU AMBAO HAWANA. WATZ WENGI VICHWA NI VITUPU, NA WATAWALA WANATAKA WAENDELEE KUWA WATUPU. UMEZUNGUMZIA NDEGE KWA MFANO. HIVI INA MAANA GANI KWETU WATZ KUWA NA NDEGE AMBAZO HATA HATUJUI THAMANI YAKE HALISI NA WALA HATUJUI MADENI YANAYOKOPWA TUTAKUJA KUYALIPAJE? UKIONA MTANZANIA ANASHANGILIA BARABARA NA RELI AMBAZO GHARAMA ZAKE (UPATIKANAJI WA FEDHA ZA KUGHARAMIA) WANANCHI KUPITIA BUNGE LAO HAWAJUI, HUYO MTU NI WA KUHURUMIWA,ANAHITAJI KUKOMBOLEWA!
 

This is what I believe too....

Kwa Mungu aliyetuumba na ambaye ndiye huweka tawala za kibinadamu kuongoza watu wake ktk mataifa mbalimbali duniani, hawezi ruhusu utawala wa kiovu
kusimama na kutesa watu wake haijalishi utawala huo umejizungushia kinga na majeshi yenye nguvu kiasi gani....

Mungu akisema ENOUGH IS ENOUGH, basi nothing gonna stop him to make his own replacement using his own simple but effective ways of national leaderships to save his inflicted people....!!
 
Habari Wana jamiforums

Wahenga wanasema ukiona ndoto zako ulizo panga zinakamilka ujue Mungu yupo nyuma ya mipango yako na amebariki mipango yako.

Kimichezo namuona Magufuli kama Clopp wa Liverpool

Mungu akutunze Rais wetu mpendwa kwa niamba ya Familia yangu Tunakupongeza kwa juhudi zako Mungu akutangulie

Pia kwa niamba ya Wana Jamiforums Tunakupongeza Rais wetu Mpendwa

Nani kama Magufuli [emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]

Maendeleo hayana Chama

Sorry nimemtumia Donacountry sababu ndio Maarufu na kila mtu ataelewa nazungumzia Nini
 

Kwa 'niamba' ya wana jamii forums, nasema hivi hatuko pamoja na wewe kwenye hizi pongezi zako uchwara.
 
Aamin rabbil aaalamin,yaani huyu baba kwa kweli daah...yaani ingekuwa wababa wote marais wako ka yy afrika yetu isingekuwa hivi ya wengi wetu tunaofikiri baada ya kunywa faru John ile hatimiliki ya Yule mwenyekiti..

Asante mtoa mada!
 
Naamini kwa sasa tutarajie yafuatayo;
Kupungua kwa misaada ya wafadhili kwa nchi yetu na ktk budget yetu
Ruzuku ya madawa ie HIV na chanjo mbalimbali tutatakiwa kulipia sasa
Kujitegemea ktk kuendesha miradi mbalimbali
Misamaha ya madeni nayo sasa ni 'baibai'
 
Nadhani tumepakwa mafuta kwa mgongo wa chupa! Hakuna cha uchumi wa kati.
 
miaka mitano bila mshahara kupanda, hivi unazungumzia maslahi gani wewe utopolo?
 

This is one of more than 400 Health Care facilities constructed in less than 4 years under the Strong leadership of Tanzania 's President John Pombe Magufuli.
More than 500 Dispensaries are expected to be constructed in the near future.

This will narrow the accessibility to a healthcare facility at a 5KM radius.


VIVA JPM

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…