Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Hongera kwa JPM, japo nashauri aruhusu democrasia 2020 October, vinginevyo kama taifa tutapata wakati mgumu sana ,tukitegwa na jumuia za kimataifa.

Majengo sector afya mengi yanaweza kubakia makazi ya popo, garama ya vifaa tiba ni kubwa sana bado ajira watumishi, hivyo kama taifa bado tunawahitaji wadau wa maendeleo misaada,mikopo nafuu nk.
 
MABEBERU wenyewe wameunga mkono juhudi za Chuma JPM baada ya Tanzania kuwa Lower Middle Income Country.
 
Where is health insurance?
 
Demokrasia sahau kabisa tena uchaguzi utakuwa zaidi ya ule wa Serikali za Mitaa watendaji watawakimbia mtatembea na Fomu ule uchaguzi ulikuwa ni Kutest mbinu
 
Mbona tumesha tengwa wakat wa corona na tuko fresh unafikir kumtenga muafrica ni Rais wakitutenga sis wapi wataenda kufanya biashara za bei nafuu? China au urus
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…