eretzisrael
JF-Expert Member
- Jul 9, 2016
- 331
- 474
hii imekaa vizuri sana.JPM amefanya mengi makubwa ila kwa jinsi tu alivyopambana na janga la corona linanipa sababu kubwa ya kumchagua katika uchaguzi huu...japokua hakukua na lockdown lakini Corona imetuhenyesha lkn jemedari huyu kashinda vita dhidi ya Corona na maisha yamerudi kama kawaida. .. JPM tano TENA 💪
Wewe mwanamke uwa unahangaika Sana na Lissu
Achana na hilo jizi na tapeli limetumwa kuchafua amani ya nchi kisha lisepe kwa mabwana zakeSi anagombea Uraisi wa nchi yetu au ulitaka nihangaike na wewe? Unagombea nini?
Sasa wewe kutwa nzima upo kwenye vijiwe Vya kahawa alafu unataka kaziKweli tuko mahala pazuri aisee.View attachment 1545580
Uko sawa kabisa.Sasa wewe kutwa nzima upo kwenye vijiwe Vya kahawa alafu unataka kazi
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
thanks kwa kuuonyesha upeo wako wa kiakili kwani tunasoma ili tuajiriwe au tunasoma ili kupata maarifa ya kusavaivu katika maisha yetuKweli tuko mahala pazuri aisee.View attachment 1545580
Kwa ambao wamewahi kuishi ughaibuni wanatambua hili ya kwamba huko ughaibuni mambo ya serekali kuu kujihusisha na ujenzi wa miundombinu ilishapita miaka mingi mno mabara bara yapo tayari reli za uhakika zipo tayari umeme wa uhakika upo tayari feeder road za kuunganisha vijiji na barabara kuu zipo tayari.
Hivyo serekali zao masuala ya kubeba au kutumia bajeti zao kwa ajili ya ya miundombinu zilishamalizika wanachofanya ni kumaintain kila wakati kunapotokea dosari the way Rais wetu anapotupeleka HONGERA SANA JPM wengi hawana upeo wa kuona hili and I am sure muda sio mrefu bajeti zetu hazitaelekezwa tena huko kwenye miundo mbinu bali zitaelekezwa katika kuboresha zaidi huduma za jamii ikiwa ni pamoja na kushusha riba za mabenki kufikia 5% na mengine mengine mengi mno mazuri.
Ndugu yangu yapo mambo ya kimsingi ambayo ni lazima yafanywe kwanza ndipo nchi iweze kuwa stable kiuchumi na hata kuweza kutoa misaada nje pamoja na hata kuwapo watu wake UNEMPLOYMENT BENEFITSMkuu nimekusoma chukua soda kwa mangi ushushie nitalipa, baadhi wanapinga wanasahau kua bila miondo mbinu iliyo imara uzalishaji utakua na changamoto nyingi ikwemo kushindwa kurahisisha muzunguko wa uzarishaji wenyewe, utafikaje sehemu husika kama mazingira sio rafiki?.