Wizi,ujambazi,umalaya,uzinzi na udokozi ni baadhi ya tabia mbaya katika jamii yoyote iliyostaarabika.
Kipindi matokeo ya uchaguzi mkuu yalivyokuwa yakitangazwa na tume ya judge
rubuvu kulikua na kila
viashilia vya wizi na udokozi wa kura za
lowasa na ukawa.
kwakua wizi na udokozi ni kati ya tabia mbaya katika jamii yoyote kama nlikvyotangulia kusema kwa huu wizi na udokozi wa tume wa kuiba kura za lowasa na kumpa mh
magufuri...naomba nichukue fursa hii kuwashukuru sana tume ya uchaguzi kwa kufanikiwa kudokoa kura za
lowasa.mh
magufuri ndiyo aina ya raisi wazalendo wote tuliokuwa tukimlilia aje kuiondoa Tanzania kwenye mambo ya business as usual
japo ni mapema sana kumsifia mh
magufuri ila waswahili wanasema nyota njema uonekana asubuhi.
#tumbuaMajipu