Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Bungeni kitu gani?kama shemeji(kaka wa janeth Maghufuri) yake alimpa deal la mabilioni ya shilingi kujenga Chato airport,Kuna properties watoto wake wanamiriki mbezi beach dar,hata ukiwa bungeni miaka kumi huwezi kuzipata
 
Usiwe mwepesi kufunika madhambi ya Mwendazake.
Pengine tueleze kwa nini Mbeya hatuna Waziri hata mmoja wakati kanda ya Mgufuli wapo saba au nane.
 
Mbeya mmepewa naibu wa Spika!
 
Na mimi naishia hapa.

NB: Mungu huwa anaona mbali sana. Na kazi yake siku zote haina makosa.View attachment 1802361
Marehemu Ruge Mtahaba alisema ogopa Mungu... ogopa Teknolojia... teknolojia inatusaidia sana kukumbuka yaliyosahaulika..Kauli za Hayati Magufuli zilikuwa za kibaguzi..... matendo tu yalikuwa ni ubaguzi mtupu.....unaweza kukuta huyo kijana wake Account inasoma mpunga mrefu kuliko hata wa PM , unaweza kukuta mtoto ana miradi ya bilions of money....sasa ubunge au uwaziri haikuwa lazima....kumbuka Magu alitwaliwa ghafla kifo hakikumuandaa.... pengine angemuweka sehemu nyeti baadaye.... Asante kwa kutuwekea kauli hiyo ili kuweka kumbukumbu sahihi
 
Hivi Gwajima ni Mmakonde? Ingekuwa hamna msukuma kwenye wagombea ange muweka huyo binamu yake. Waulize walio umizwa na huyu mwenda zake. Usimtetee. Kama hukumjua Joseph kuna walio mjua kabla.
 
Chawa! Kama kawaida unatafuta koti la kujificha! Sidhani Kama utadumu ndani ya koti Hilo maana litapigwa pasi ya Moto muda hivi punde na mwisho utachomwa na kufa!
 
Umesahau lile swaga la udom akiwachomoa watoto wa wengine kwa kuwaita vilaza huku akimuacha bintiye ambaye kasoma Hadi masters na kumuajiri Mambo ya nje!
 
Ni mpuuzi pekee anaweza kuona maneno ya Mbowe juu ya ukabila wa JPM kuwa ni kweli JPM ndo ameweka standard kwenye swala la ajira leo mfumo wa kuajiri serikalini na mashirika na taasisi zake lazima upitie utumishi

Nani asiyejua kuwa watu wa kaskazini walikuwa wanaingizana makazini bila ya vigezo? Huuu ni ukweli mchungu sana ulikuwa ukienda mashirika ,taasisi,wizara zote zanye ukwasi wachaga wamejazana je unadhani ilikuwa sahihi je wao ndo wamesoma peke yao JPM yote alikuja kuweka sawa kila mtu apate kazi kwa juhudi na maarifa aliyonayo si ukabila na kuwekena uliokuwa unafanywa na wachaga .

Mfano mdogo tu Waliosimamishwa kwenye tatixo la Luku yani mtu na msaidizi wake wote wachaga hii ni picha ndogo tu juu ya hawa wenzetu je taasisi na mashirika mangapi wamejazana ?
 
Usinichekeshe.
Huyo mtu Kama hata kutongoza hawezi, bungeni ataenda kuongea Nini? Ile aibu ya building and finance au Ile ya vijana kutokua na nyege imetosha.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…