Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mleta nada ameeandika satirical sio literal jaribu kumuelewa
 

I second you.
CCM (Ilani) sio muasisi wa ufisadi. Lakini CCM (wanachama) ndio waasisi wa ufisadi, halikadhalika CDM na Ukawa yote (misingi ya chama) hawaelekezi watu kuwa mafisadi bali hao wanaojiita Ukawa (wanachama) hawana title ya ( usafi)
Nirudie tu kusema nchi hii tulikosa mtu atakaye tekeleza yale yaliyo katika maandishi (Ilani zetu na katiba).
 

Kwaiyo wakina.Lissu ndio wangeongoza nchi????'! Hivi unajua mamlaka ya raisi???? We mende kweli yani Chadema ndiyo walikuongopea hivi???

Tafakari kauli hizi;-

1) Muda mwingine yatubidi kubadili gia angani- Mbowe

2) Tuko tayari kusaini mkataba na shetani ilimradi tuitoe CCM - Lissu

Kama ungenielewa vizuri basi ungejua kuwa ata wapinzani wanania ya kwenda ikulu kupiga dili na sio kuwatumikia watanzania na hili ndilo nililozungumza tatizo letu mtu atakaeongoza na sio chama ndugu usijifanye unajua sana mie mwenyewe nilikuwa hiyo chadema naijua vizuri tu ila ujio wa fisadi ulinifanya niachanenao maana tukilolipigia kelele leo tunalikumbatia
 
Tuko tayari kusaini mkataba na shetani ilimradi tuitoe CCM - Lissu

Ni kweli walisaini mkataba na shetani lakini Mungu wa Watanzania akamshinda shetani waliyesaini mkataba naye
 
Hizo porojo peleka machame. Unajua lowasa alivyopewa kugombea urais wewe?!
 
BAVICHA kwa viroja tu hamjambo! Juzi hapa nilikuta watu wanadai eti Magufuri anatekeleza Ilani ya CHADEMA. Nilipoomba niandikiwe sehemu ya hiyo Ilani ya CHADEMA inayotekelezwa na Magufuri hadi leo sijaandikiwa japo neno moja achilia mbali kifungu husika cha Ilani yenyewe!!

Kwa wenye kumbukumbu zetu bado tunakumbuka jinsi BAVICHA walivyosema eti Jakaya Kikwete ni Jasusi la CHADEMA ambalo lilikuwa na kazi ya kuimaliza CCM! Mtunga ngano maarufu, Yericko Nyerere akatoa hadi simulizi ya JK kutaka kugombea urais kwa tiketi ya CHADEMA mwaka 2005 endapo CCM isingempitisha! Kukatwa kwa mwizi maarufu nchi hii, Edward Lowasa, kukamfanya mtunga ngano Yericko aamini ni mkakati wa JK kuimaliza CCM kisayansi ili "chama chake pendwa" cha CHADEMA kipite kirahisi!!! Yericko huyu hapa:
Kwa akili kama hizi ndo maana wala sishangai watu wanavyojipa matumaini kama ambavyo wengine wanasema "Magufuri anatekeleza ilani ya CHADEMA" mara oh, "Magufuri alikuwa mgombea wa kujitegemea ambae aliitumia CCM....!"
 
Last edited by a moderator:
hivi ile mambo ya mfumo imeishia wap? maana walidai ccm ata wamchague malaika atakuwa fisadi sasa wamekuwa washauri wa magufuli ahahahaha mlalo wa chali
 
Manyumbu wanapojaribu kujifariji baada ya mgombea wao kuzuiwa na dole la Magufuli na kusahaulika kabisa.
 

Halafu huwezi amini kuna watu huwa wanaamini hizo hekaya za Abunuasi zinazoandikwa na huyo Yericko Nyerere, wenyewe vijana wanamwita kamanda! SMH
 
Last edited by a moderator:
Manyumbu wanapojaribu kujifariji baada ya mgombea wao kuzuiwa na dole la Magufuli na kusahaulika kabisa.

Toka lini ukawafagilia Wakristo wewe? Wewe unajulika na kabisa una chuki ya asili na Wakristo.
 
Tehe tehe tehe,
Mkuu kula LIKE!
 
Wajinga nyinyie watu wa Ukawa mlisema hata CCM ikileta mgombe Malaika ata geuka kuwa shetani,naona mna mfagilia Magufuli mmesahau kejeli zenu vibaraka wa Mbowe hamna akili kabisa,mkamshabikia yule Fisadi Lowassa eti awe Rais!
 
Ni kweli kabisa magufuli anasimamia sera bora kabisa kutoka chadema
 

Attachments

  • 1449388833753.jpg
    7.6 KB · Views: 123
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…