Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Kasi ya Magufuli tunaikubali, kwa muda wa wiki 3 tu kazini amefanya kazi ya miaka 5.

Manufaa yamefika hata vijijini hususani hapa Nyakanazi.
 
Natangaza kurudisha kadi yangu leo tarehe 3 ~12~2015 ya chama changu pendwa cdm kutokana na utendaji unaoendelea ndani ya Serekali ya JMP, ccm hoyeeee!
 
Wewe ni wakupuuzwa...huna jipya..huna hoja....hujielewi
 
Wewe kiazi bila kuwa na upinzani makini ndani na nje ya ccm basi magufuri urais angeuisikia.hivyo suala siyo kuhama ila kuwa mpinzani wa hoja za kumusaidia rais kufanya vitu vyake
 
"tinga tinga tingaaaaaa..tinga tinga mkombozi wetu hapa tanzania hata africa...tinga tinga tingaaaaa tinga tinga baba yetu anatukinga na mafisadiii...anapigana na wakwepa kodiiii...hawataki watu wazembeee...tingatinga tingaaa..tinga tingaaa..tingatinga ni nuru yetuuu atainua uchumi wetuuu ana uchungu na maisha ya watu wakeee...tingatinga tingaaa tinga tinga...hapendi wala rushwaaa na mafisadi papaa... atatufikisha kwenye maziwa na asaliii...tinga tinga tingaaa anaogopwa na wenzakee wanajuta kumpitishaaa anawakaanga kama hawajui wanaisoma namba wenyewe...tinga tinga tinga tingaaaa. MUNGU MLINDE TINGA TINGA KIPENZI CHETU
 
Kiukweli hali ilivyosasa utadhani nchi ndio kwanza inapata uhuru, maana kila unapokuwa wananchi wana jadili kasi ya Rais na kusema hivi kama miaka yote hamsini iliyopita kasi ingekuwa kama ilivyo hii ya Mh. magufuli hili taifa hadi sasa tungekuwa tunaifukuza marekani kwa maendeleo hapo ki ukweli sipepesi macho hatankidogo, mimi binafsi naomba Rais chukua hatua bila kuogopa mtu yeyote ndani ya nchi hii maana wewe ndiye kwasasa tunayekutegemea kuiokoa Taifa hili ambalo lilikuwa limezama hili ya ardhi katika lindi la udongo mchafu sana, wewe sasa unaisafisha nchi hiim ianze kupendeza na Mataifa yanayotuzarau na wao sasa waanza kujipendekeza kwetu ili kupata misaada kutoka kwa wananchi wa Taifa Tanzania (I LOVE MY COUNTRY TANZANIA)
MZALENDO RENATUS
 
Amani ya Bwana iwe nanyi wadau,
Ni dhahiri shahiri kuwa kwa yanayotokea leo Tanzania sio tu yanawashangaza watanzania bali yanaishangaza dunia kwa ujumla, na haya yote yanatokana na Huyu mtu ambaye dunia nzima inapata habari zake saivi kuanzia kutoka kwenye twitter, facebook, magazeti hadi vyombo vya habari mbalimbali duniani. Huyu si mwingine ni John Pombe Magufuli kwa watu wengine wanamuita buldoza ila mie napenda kumuita mtumishi wa Mungu.

Kusema kweli huyu mtu amemuonyesha raisi wa marekani ambaye wakati alipotembelea nchi ghana miaka michache iliyopita alisema wakati anahutubia bunge la ghana kuwa Africa need strong institutions and not strong leaders. Kama kumprove mtu wrong basi Magufuli kusema kweli kamprove Barack Obama wrong kwa sababu nitakazozieleza hapa chini.

1. Magufuli amemuonyesha Obama kuwa ndani ya Tanzania ambayo ni sehemu ya Africa kulikuwa na strong institutions ambazo zimewezeshwa vizuri kiutendaji na hata kivifaa ila havikuwa efficient tu kwa sababu hakuwepo strong leader, sasa strong leader amepatikana efficiency yake imeanza kuonekana

2. Magufuli kwa kipindi kifupi sana amemuonyesha Obama kuwa waafrika ni jamii ya kipekee sana ambao ili waende ni lazima aliye juu awe mtu wa namna fulani hasa kiutendaji na kiuadilifu ambapo yeye ndo anadetermine kama nchi iende mbele au vipi.

Hizi hapo juu ni sehemu tu ya mifano ambayo magufuli amemuonyesha Obama kuwa Africa inaitaji strong leaders na sio strong institutions na nauhakika sio tu Magufuli aliyemuonyesha Obama. Najua kwenye list hii wapo pia Paol Kagame ambaye jinsi nchi inavoenda chini wa uongozi wake inaonesha kuwa Obama azlikuwa wrong kuhusu Africa, sio tu hapo hata Marehemu Meres Zenawi kwa alichofanya Ethiopia pia ni ujumbe kwa Obama.

Napenda kumaliza kwa kusema Africa ni Africa na pia ulaya ni ulaya na Marekani ni Marekani pia. Na kwa Africa tumeshajionea kuwa ili bara hili lisonge viongozi jamii ya Patrice Lumumba, Sankara, Meres Zenawi, Muhamad Ghadafi, Paol Kagame na huyu wetu John Pombe Magufuli ni muhimu kwa mustakabali wa bara letu.
 
Fact you can not builf strong intitutions if you have weak leaders.
 
Strong leaders ndio kila kitu. Ndio maana niliona upuuzi kupata katiba mpya. Hii hii tuliyonayo ikipata jembe la ukweli mbona mambo yanaenda tu.
 
Kwa hali ya kawaida kama Magufuli wetu angeendeleza status quo (mazoea yaliyokuwepo hapo mwanzo) ina maana sasa hivi Mawaziri wapya tayari wangekuwa wanaishi Hotelini ( hoteli za nyota tano) wao pamoja na familia zao kwa gharama zetu, kuanzia malazi, chakula, vinywaji mpaka usafiri mpaka pale ambapo nyumba zao zingepatikana au kukamilishwa kufanyiwa ukarabati, rejea nyumba ya gavana wa benki Beno Ndulu mpaka iliwekewa bwawa na kuogelea (swimming pool) kwa gharama yetu!

Halafu kuna watu wanaishi Marekani na Ulaya wanamponda Magufuli wetu anavyojitoa mhanga kutetea wanyonge na masikini wa nchi hii waliokanyagwa, kutumiwa na kudharauliwa maisha yao yote ili hali wao wakiugua wanakwenda kutibiwa huko huko Marekani lkn hawapandi ndege kuja kutibiwa Muhimbili, wanakuja likizo na dola zao dharau kibao na kutegemea wakute nchi iko kama Marekani walikotoka!
 
hao watu wanaomponda magufuli ni wale "malofa" aliyesema rais mstaafa Ben mkapa...
 
nasikia wanajengewa mabweni,ndomaana baraza linachelewa,hadi yakamilike ndo atawatangaza...
 
Back
Top Bottom