Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

I strongly believe that after phasing out or rooting out wana mtandao or all or most of the mtandao operators from the party and correcting all the errors CCM will come out stronger than ever. I hope they (the existing CCM leadership)will first sort out the isles isssue and later pass over the party leadership to another person whether JPM or someone else after two years then the constitution and all other party issues will follow. Ananyoosha serikali kwanza.
 
Zanzibari.... whot iz hapeningi zeya? It iz tuu erli to praise Mr. Padiloks...
 
This is a proof that CCM was right to nominate him as its flag bearer, it is a proof that CCM was serious in choosing a candidate who will fight corruption. It is also a proof that CCM nominated someone who is clean, trustworthy,straightforward & patriotic.Congratulations to CCM think tank i.e Comrade Kinana, comrade Mangula & co

Hivi ulivotazama Sura ya Mangula ulitegemea anything less?vile vibabu Lowassa alikuwa anaviogopa kuliko ukoma, kwani haviongeki.

Watanzania, inaonekana bado wana mapenzi na ujamaa..., ndio maana serikali ya CCM ya "Kijamaa" inapendwa kuliko ile ya kibepari.

Catch 22 is, how long can CCM sustain it's going back to it's roots drive, before it bites the hands that feeds it (wahisani,washirika....n.k). And if that happens, how will CCM react?

2015-2020 will be very interesting. Wapinzani wangekuwa na akili wangeji-align upya kabisa, kwani CCM imeshabadili Siasa za bongo in one swoop.hadithi za maandamano na ufisadi this ufisadi that will no longer sell. Upinzani unahitaji Ideoogica revamp. wakajifunze vyama vya upinzani miaka ya 60 waliendesha vipi siasa zao. asiyejifunza kutoka kwenye historia , huishia kufunzwa na historia.
 
If the title and content of this thread is true; then conclusively you can say Africans' lives all long have been a 'nightmare of leadership'.
 
But, its so simple to fool oneself that CCM is now gaining and not loosing!

The fact is CCM is rapidly loosing as all the scandals from TRA to TPA have been excuted on purpose by the CCMs. Magufuli knows very well about this, he usually refrain from CCM by saying "Hii in serikali ya Magufuli", and never proud of CCM.

Am sure CCMs themselves are not happy with the pace Magufuli is introducing! You can read btn the lines on their press release!
 
Magufuli has grabbed the hearts and minds of a whole continent. The continent has fallen in love with him..



It's because those sorry ass African leaders are not fulfilling their promises, instead they are there to steal and corrupt the system. Every African country needs a Magufuli and an uprising.
 
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS

Telephone: 255-22-2114512, 2116898
E-mail: ikulucommpress@googlemail.com
Website : Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Tovuti Rasmi ya Rais
Fax: 255-22-2113425




PRESIDENT?S OFFICE,
STATE HOUSE,
1 BARACK OBAMA ROAD,
11400 DAR ES SALAAM.
Tanzania.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli , leo mchana amefanya ziara ya kushtukiza katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na kukutana na hali ya kumsikitisha.

? Rais amesikitishwa na kuhuzunishwa na hali ya huduma kwa wagonjwa hususan wanaolala chini. Pia amekasirishwa na hali ya kutokujali wala kushughulikia vifaa vya kufanyia kazi ambapo amekuta mashine muhimu za uchunguzi wa magonjwa kama vile MRI na CT-SCAN zikiwa hazifanyi kazi kwa muda wa miezi miwili sasa, ilihali mashine kama hizo katika Hospitali za binafsi zinafanya kazi na wagonjwa wanaelekezwa kwenda kutafuta huduma huko?. Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue amesema na kutoa maelekezo yafuatayo :

​Rais amevunja Bodi ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ambayo ilishamaliza muda wake na amemteua Prof. Lawrence Mseru , kukaimu nafasi ya Mkurugenzi Mkuu wa Muhimbili kuanzia kesho tarehe 10 Novemba, 2015.

Dkt. Hussein L. Kidanto ambaye ndiye anayekaimu hivi sasa, amehamishiwa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii ambako atapangiwa kazi nyingine.

Balozi Sefue pia amesema, Rais ametoa wiki moja na kwa vyovyote si zaidi ya wiki mbili kwa uongozi mpya wa Muhimbili kuhakikisha kuwa mashine zote za uchunguzi wa magonjwa ambazo hazifanyi kazi zinafanya kazi na kuhudumia wananchi kama ipasavyo.

Tayari Wizara ya Fedha imetoa shilingi bilioni 3 kwa ajili ya kazi hiyo na kulipa madeni ya ukarabati wa mashine za uchunguzi wa magonjwa nchini.

Hata hivyo Katibu Mkuu Kiongozi amesema kuanzia sasa hospitali zote nchini zinatakiwa kutenga fedha kutoka kwenye mapato yao wenyewe na kuhakikisha mashine na vifaa vyote vya kazi vinafanya kazi wakati wote (Regular Maintenance).

Balozi Sefue pia metumia nafasi hii kuwaagiza watendaji na viongozi wote katika sehemu za kazi kuhakikisha wananchi wanahudumiwa ipasavyo na kazi za umma zinatekelezwa ipasavyo.

?Hakutakuwa na huruma kwa watumishi wa Umma wasiojali wananchi na mahitaji yao? Amesisitiza Balozi Sefue.

???Mwisho???

Imetolewa na;

Premi Kibanga,
Mwandishi wa Habari wa Rais Msaidizi,
Ikulu ? Dar es Salaam.
9 Novemba, 2015

hvi inakuaje anuani na kichwa cha habari ni Kiingerexa alaf barua chini imeandikwa kiswahili?
 
Kweli huyu ndiye rais niliyemsubiri kwa miaka mingi sana. Sikuhizi yule jamaa yangu aliyekuwa anafanya kazi pale halmashauri ya manispaa ya kinondoni simuoni tena. Yaani yeye alikuwa anatembepea maeneo mawili tu. Kwenye ATM na BAR. Anajifanya eti yuko serikalini ndo maana hafanyi kazi. Na kama wiki hivi sijamwona alafu nikimpigia simu anasema yuko busy. ***** ngoja aje amkute hayuko apigwe chini ntacheka alafu hata hana nyumba.
Magufuli hebu mtembelee na huyu umfinye kidogo ajifunze kuishi kwa kuchubuka kama sisi

Dua la kuku halimpati mwewe. Ukipigika huachi kwenda kupiga mizinga kwake huyohuyo unaye muombea mabaya. Mungu akumulike na dua lako baya, huyo jamaa akubaini unafiki wako.
 
Ndugu zangu,
... Ni moja ya vichwa vya habari vilivyopamba gazeti moja nchini Sweden vikisimulia habari ya Rais wa Tanzania aliyetoka Ikulu kwa miguu na kuingia mitaani kufagia na kuzoa takataka kwa mikono. Nimetafsiri kwa uchache kilichoandikwa kwa lugha ya Kiswidish.
Tafsiri yangu:
Naam, kwa wenzetu, John Magufuli anachukuliwa kama mfano mzuri wa kiongozi anayeongoza kwa kuonyesha kwa vitendo, na asiye na makuu wala tamaa ya kujilimbikizia mali.

Maggid
Iringa
 
Kamwamini mkeo, unakuja kuwaamini wanasiasa?? Mahaba niteketeze ndo hiyo sasa, huenda huwa unamwota usingizini.
 
wenzetu wazungu huwa wanataka ukiwa unawaelewa kitu uwaangalie machoni......kwa sababu uso wa mtu humtambulisha mtu....ukimwangalia JPM usoni lzm uamini anachokisema coz you can read it from his face!!
 
Mahaba niteketeze yanaitwa. Ni maradhi hayo
Absolutely.......yani unamwamini tu mtu, bila sababu....teteteh!

Mbaya zaidi ni pale mahaba hayo yanapokupofusha na kujikuta kuwa, hata anapokosea, ama huoni, au ukiona basi mahaba yanakuzidia kiasi kwamba utakesha ukijaribu kuhalalisha makosa yake. Seriously, haya ni maradhi mabaya sana..
 
hakuna jukwaa la mapenzi? Tujengee hoja hapa sio kutuletea hisia binafsi. Hizi Ni dalili za kupenda kulelewa,kufanyiwa,kudekezwa,kubembelezwa,kuhongwa.... Jisimamie na simamia hoja
 
Back
Top Bottom