nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,624
mungu yupi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika tuliochaguliwa ni wengi bali wateule ni wachache.Natazama namna Magufuli anavyolijenga upya taifa letu sina shaka huyu ni mteule wa Mungu.Basi na tuzidi kumuombea ili wale waovu wa harakati hizi za maendeleo Mungu akazibatilishe nia zao!
Kweli kbsa. Umenena vyema mwana LumumbaMkuu wanaoponda ni mission town na club yao ndio hiyo imetaifishwa usicheze na Hapa Kazi tu!
Wapo kwenye fiesta saa hzngoja waje wakupe za uso, hawaonagi cha maana hata kdg kinachofanywa na serikali
Mm ni mwananchi wa kawaida ila nachukia kuona kila anayelalamika kwa matatizo yake anaitwa fisadi na mvivu.Baada ya hotuba yako ya jana, wazee wameiona miaka ile ya Nyerere, wanafanya tathmini na kuona utawala wako umerudisha heshima. Wanajiuliza vile viwanja vya mpira kila mtaa viko wapi? Michezo mashuleni ipo wapi? Wanafunzi watafanyaje vizuri bila michezo ya kuchangamsha miili yao?
Name naunga hoja za wazee hao mkono. MCHAKAMCHAKA mashuleni urudishwe kama sisi tulivyokimbia tulifundishwa ukakamavu. Hawa kinda waliozaliwa kuanzia enzi za Mkapa na Jakaya, ovyo sana ndo hao wanaotukana tu kwenye mitandao na kulia lia tu hawataki kujishughulisha.
Magufuli kaza buti, bado usiwasikilize wavivu na mafisadi.
zamani hakukuwa na walalamishi kama wewe! Kwani lazima utegemee kuajiriwa tu? Watanzania wangapi wameajiriwa? Utazeeka kwa kulalamika maana hata ukiajiriwa bado utalalamika tu!Mm ni mwananchi wa kawaida ila nachukia kuona kila anayelalamika kwa matatizo yake anaitwa fisadi na mvivu.
Kama wewe umefanikiwa kupata kazi kwenye mazingira ya kifisadi na saiz upo salama, ni jambo la kushukuru na sio kubeza wenzako ambao kweli wanalia kwa shida zao
Hao wazee wanaomsifia rais ni masikini na hawana wivu wa maendeleo. Wivu wao ni wakike wa kidhani matajiri ndio waliowapa umasikini