Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

"PIRIODI" ya mwisho wa mwezi ya jinsia ya wale wenzetu au?
Hivi unaijua vita ya Uchumi wewe!. Bahati nzuri Mzee MAGUFULI anajua nini kinachoendelea. Watu wanatumika na mabwanyenye kwa kuichafua serikali hii lkn wananchi wenye kuipenda nchi hii na hasa wanyonge tuko pamoja naye. Waulize wakulima wa pamba, korosho, wachimbaji wadogo machinga wa Mwanza nk. Hizi mbwembwe zenu zimo humu JF tu
Kabisa. Mkuu binafsi nilikuwa silipi kodi kwa sasa naona umuhimu wa kulipa kodi tena nafurahia kuwa mzalendo ktk nchi yangu. Ukitegemea cha wengine ipo siku utakwama tu. Watanzania wenzangu nguvu nyingi tunayotumia kuichafua serikali yetu, tutumie hizo nguvu kufanya kazi na kulipa kodi. Tanzania itajengwa na watanzania wenyewe.
 
Magufuli hana tofauti na Mwisho Mwampamba...
Baada ya kupata pesa akazitumia kwa mbwembwe baada ya hapo chali!
Hata JPM nae baada ya kusukumiwa uraisi akaleta mbwembwe sasa hivi chali!

Amebaki kuonea onea wanao mcriticise, amejawa hofu maana inawezekana ushindi wake 2015 ulikua magumashi tu, kipindi hiki mambo ya ovyo yanatokea lakini hakuna accountability, majeshi yamegeuka vibaka, matumizi mabaya ya fedha za umma nje ya bajeti ipangwayo na bunge, double standard etc.

Kwasasa JPM anaonyesha rangi yake ya kweli, he is just another Hyena in sheepskin!

Muda haujawahi kumuacha mnafiki salama...

You heard it first here "Mpaka huyu jamaa amalize muda wake kikatiba, matumizi mabaya ya kodi zetu, mauaji, uonevu, kufunga watu, ongezeko la wanafiki na maovu mengine yataweka rekodi ya aina yake".

The guy is like a glass half empty!
 
Moto wa magufuli maneno tu.
Sikiliza we raia, hata mimi kuna vitu nampongeza sana pombe, vipo vingi sana ambavyo kafanya sahihi kabisa. Shida yangu ni kumkumbatia bashite hata anapokosea na kutumia nguvu kufaya mambo yasiyo ya msingi na kutokutaka watu wamquestion. Yaani kila mtu akiongea kitu ambacho hakipendi basi anaanza kusumbuliwa na polisi au uhamisho. Huo ni upuuzi wa hali ya juu sana. Hapo tu ndo nina shida naye. Hadi wanafikia hatua kuweka license kwenye blogs, kisa tu amejaa ego. Pumbavu kabisa hili dingi na kundi lake lote linalomuunga mkono.

Mtu kusaidia yatima haimaanishi akiwa jambazi basi ni sawa. Doing one thing right doesn’t make one entitled to do something wrong. Siwezi kukubali kamwe upuuzi anaoufanya kisa kuna mema mengine ambayo ameyafanya. Hata wasomi hawaquestion decisions nyingine ambazo ni za kitaalamu sijui wamesoma nini. Tatizo la nchi iliyo na 80% wajinga wasio na elimu ndo hii. Wanaunga mkono makosa hawayaoni sababu ndiyo maisha waliyoyazoea ya kua controlled kuamrishwa kila kitu.
 
Watu kama nyie walikuwepo tokea zamani enzi za madikteta akina Mussolini na Adolf hitler yaani chochote atakofanya magu bado kuna wendawazimu watashangilia.
Leo hii magu akisema atauwa watoto wote nchi mzima wenye miaka 2 kuna wajinga bado watampongeza na kumsifia
Hintler akiwa wala wayahudi kwa ajili ya Dini yao na mawazo yake ovyo ya kuwa wao wamjaliwa na Mungu. Aliwaua masikini au walemavu. Bungeni hakuruhusu wapinzani. Aliunda kikosi chake cha kufanya majibu wa wapinzani.
Alianzisha vita vya dunia kwa kuvamia nchi za Europe. "BLITZKRIEG"

Je Rais Magufuli anafanya hayo mpaka yeye kuitwa Dikteta? Ni dhambi lakini kwa kusema uongo?
 
Ok ndugu bashite ila mwambie huyo Rai's wako trillion 1.5 IPO wapi
 
Watanzania ,si wote,baadhi ,waliota mapembe kwa kisingizio cha demokrasi ,uhuru wa kutoa maoni,ulitumika kinyume na mila ,desturi,na utamaduni wa kitanzania,umagharibi ulianza kuliangamiza taifa,kila mtu alikua kambale,matusi,uzushi,vilitawala kila kona,sasa naona adabu inarudi,rais ukisema marufuku,maana yake ni marufuku,mfano ni yale maandamano ya kuangusha utawala uliopatikana kidemokrasi,simamia hivyo hivyo,mbwa ukimchekea anakufuata hadi mskitini.
 
Duuu!!! Mungu tusaidie waja wako angalia wapi tumekosea pia tupe ujasili wakusema hapana kwa pamoja.

Pia tuondolee wote wanao jitia upofu ile hali wanajua kilakitu ila matumbo yao yana njaa.

Kwakusema hayo machache amennn.
 
Ubabe na sera za kushikilia hapo hapo zinawatoa jasho wapinzani wa hapa nchini na wale wabeba boksi wa nje.
 
Maendeleo yoyote hupimwa kwa shida ulizonazo against neema uliyopata.

Nisikuchoshe uliza watanzania 100 tu rondomy utanipa jibu kati ya hao 70 watakuambia hata hawajui tunaenda wapi; na wana hali ngumu
 
Kiufupi sana Mhe Magufuli ni mwafrika wa kipekee mwenye madaraka ya urais anaye waza tofauti sana na marais n.a. raia wengi wa Africa.

Mtu huyu anaenda kuweka rekodi ya kipekee kabisaa ktk mambo yafuatayo:-

1. Kuitoa TZ daraja la chini kwenda la kati kiuchumi KWA ujenzi wa viwanda na biashara zenye uwazi n.a. manufaa KWA taifa pasipo unyonyaji KWA wazawa. Hii itaongeza ajira nchini miaka michache ijayo.

2. Kuweka nidhamu ya kazi na kuongeza ufanisi ktk utumishi wa umma.

3. Kujenga n.a. kuboresha miundombinu mikubwa ya usafiri n.a. uzalishaji umeme nchini.

4. Kuboresha huduma za afya, elimu n.a. maji nchini.

5. Kupunguza matumizi yasiyo n.a. tija serikalini na kuokoa fedha za walipa kodi KWA ujenzi wa taifa

6. Kutimiza ndoto ya kuhamisha makao makuu ya serikali kuwa dodoma.

Kwa haya machache mhe rais wetu amejitofautisha sana na viongozi wengine afrika

Mungu mbariki sana rais wetu mpendwa mpe afya na maisha marefu.

Hata Yesu wa Nazareth alipingwa na baadaye kuuwawa sembuse wewe.

Piga kazi mkuu wabaya mwisho wao huwa ni kuambulia aibu.
 
Back
Top Bottom