ryana fan
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 2,632
- 3,055
Kabisa. Mkuu binafsi nilikuwa silipi kodi kwa sasa naona umuhimu wa kulipa kodi tena nafurahia kuwa mzalendo ktk nchi yangu. Ukitegemea cha wengine ipo siku utakwama tu. Watanzania wenzangu nguvu nyingi tunayotumia kuichafua serikali yetu, tutumie hizo nguvu kufanya kazi na kulipa kodi. Tanzania itajengwa na watanzania wenyewe."PIRIODI" ya mwisho wa mwezi ya jinsia ya wale wenzetu au?
Hivi unaijua vita ya Uchumi wewe!. Bahati nzuri Mzee MAGUFULI anajua nini kinachoendelea. Watu wanatumika na mabwanyenye kwa kuichafua serikali hii lkn wananchi wenye kuipenda nchi hii na hasa wanyonge tuko pamoja naye. Waulize wakulima wa pamba, korosho, wachimbaji wadogo machinga wa Mwanza nk. Hizi mbwembwe zenu zimo humu JF tu