Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

NAMPA MITANO TENA MAGUFULI:

Ujenzi wa Julius Nyerere Hydropower Station(JNHS) kwa Africa ni mradi wa nne kwa ukubwa wa aina yake na ni wa tisa duniani.
Ambao utakapokamilika utakuwa na uwezo wa kuzalisha Megawatts 2115. Ambao unatarajiwa kumalizika 2022. Uwekezaji wa mradi huu ni usd 3.9 billion ambazo ni sawa na Tsh trillion 6.558 ambao unajengwa kwa pesa za ndani, Lengo kuu la mradi huu ni kuifanya Tanzania kuwa na umeme wa uhakika kuelekea uchumi wa viwanda.
Umeme ambao utavutia zaidi wawekezaji katika sekta muhimu ya viwanda na kama mjuavyo viwanda vinapokuja na ajira zaidi zinakuja.

Ikumbukwe hii ilikuwa ni ndoto ya Hayati baba wa taifa iliyotelekezwa na John Pombe Joseph Magufuli.

Na ndio maana nasema;
#NitampaTANOTENAMAGUFULIView attachment 1532398
Kwanza muache uongo kwamba tunajenga kwa pesa za ndani. Pili miradi yote ya maana itaendelezwa hata JPM akiwa hayupo msiwe na wasiwasi tena itafanyika kwa ubara kwelikweli manake sasa kuna makosa mengi sana.
 
  • Mtu wa watu
  • Mtetezi wa wanyonge
  • Mtumbua majipu
  • Msema kweli
  • Mpenzi wa Mungu
  • Rais wa nchi Tajiri
  • Mtumishi wa watu
  • Askari asiyetetereka
  • Rais Kwelikweli
 
  • Mtu wa watu
  • Mtetezi wa wanyonge
  • Mtumbua majipu
  • Msema kweli
  • Mpenzi wa Mungu
  • Rais wa nchi Tajiri
  • Mtumishi wa watu
  • Askari asiyetetereka
  • Rais Kwelikweli
 
Mtu jasiri na asiyetetereka
Rais Mzalendo na mwenye uchungu na nchi yake
Rais mwenye maono
Mchapa kazi
Asiyevumilia ujinga
Mpenda uafrika
 
  • Mtu wa watu
  • Mtetezi wa wanyonge
  • Mtumbua majipu
  • Msema kweli
  • Mpenzi wa Mungu
  • Rais wa nchi Tajiri
  • Mtumishi wa watu
  • Askari asiyetetereka
  • Rais Kwelikweli
[emoji16]Hato amini mbungi atayopigiwa
 
Moja ya madai makubwa ya upinzani ni kusema kuwa kuna kubinywa kwa Uhuru wa kujieleza na kukusanyika, Magufuli ameijibu Dunia Jana kwamba Tanzania wanaruhusiwa kufanya tu hata ujinga

Dunia imenyamazishwa kimya na Magufuli jana hawajui waanzie wapi maana mchezo hunoga pale mgogoro unapotengenezwa

Sasa iwe marufuku tena kwa mabeberu na makuwadi wao kumponda Rais Magufuli kuhusu Demokrasia amekuwa baba wa Demokrasia mjenga nchi mwanamapinduzi wa kiuchumi
ma jobless bana
 
--TOKA MSITUNI MABWE PANDE
____________________________________
Mzarendo mwanye mapenzi ya kweli na Nchi yake, Haijui marekani wala Ulaya toka achaguliwe, yeye ni Moro, Iringa, Tanga, Mbeya, Songea ,Mtwara, Lindi, Lukwa, Sumbawanga anarudi Moshi, Arusha, Dodoma anaingia Singida... Yaani yeye anadili kwa ukaribu Sana na watu wake, anatamani kujua kila tatizo la mtu ili atatue Happ Happ. Huko Nchi za nje Wako Mabarozi na kiongozi wao KABUDI, Mama SAMIA pia yupo atatuwakilisha...
Ni JPM, Msikivu, mvumilivu, Mwenye huruma, upendo Rafiki yao wanyonge na wanaoonewa. Yupo kwaajiri ya waliovunjika moyo ili kuwapa tumaini jipya, Haoni shida kutoa mpaka senti ya mwisho kuwapa wenye uhitaji. Yeye alikuwa fukara kama wao, anajua.
Japokuwa alikuwa mkubwa sana kuzidi wao, alishuka kwa unyenyekevu na kula wanacho kula wao. Hakusahau wa kwao, vijana wa enzi yake aliocheza nao akanywa nao kahawa.
Kila alipopita alitenda mema, akawafuta walioonewa machozi yao, akawafungua wafugwa wao, aliingia magerezani kuwasalimu wafugwa, ubinadamu ndio hisia zake. Akawasamehe waliokosea. Wimbo wa upendo uliibwa machoni pake, utumishi uliotukuka.
Hakujilimbikizia mali, anajua tulikuja tupu tutaondoka tupu... Matani kidogo, masihara kidogo ili tu kuwaonyesha ni Mimi yule yule sikubadilika.
Usingizi hapati akiwaza Tanzania....
Huyu ni Baba mwema sana.
-JPM 5tena-
FB_IMG_1597581954755.jpg
 
-JPM 5tena-View attachment 1539148
Jamii forum ya 2020 huu ni kituko kwani huu nao ni uzi ?

Tutaona mengi zama hizi
 
Back
Top Bottom