Mafanikio ya Rais Samia kwa 3 years ni yapi? Nijue nikae sawa

2.miradi gani aliyokaribu au iliyokwisha kukamilika?
 
2.miradi gani aliyokaribu au iliyokwisha kukamilika?
Daraja la JPM Mwanza liko 75%,by December kazi nitolee

Bwawa la Nyerere by June 2024 ,mtambo wa kwanza unawashwa

BRT awamu ya 3,Imekamilika

Kuhamia Dodoma Wizara zote by December kazi inakwisha

Daraja la Tanzanite,

Hospital zote za Kanda na Mkoa amemaliza na amenunua vifaa,in facts Serikali ya mama Imetoa pesa nyingi kuliko waliotoa Mwanzo

Uwanja wa ndege wa Mtwara,Songea na Songwe imeisha

Viwanja vya ndege vya Kigoma,Tabora,Misoma,Moshi, Sumbawanga,Shinyanga,Arusha,Mpanda na Dodoma(Msalato) kazi inaendelea Kwa hatua mbali mbali

Huko sekta ya mifugo kawanunulia wavuvi zaidi ya boti za speed 100

Bado Bandari na meli
 
-Kuna watu humu hawajui kwamba mama anajenga bwawa la Kidunda na Farkwa Dom Kumalizia shida za maji Dar na Dom

-Kuna watu hawajui kama mama anajenga mradi wa Maji kiwira Mbeya Kumalizia shida ya Maji Mbeya,mbalizi

-Kuna watu hawajui kwamba mama.anajenga miradi ya maji ya Miji 28 zaidi ya Trilioni 1 inaendelea kwenye Miji mbalimbali

-Kuna watu hamjui kwamba mama anaendelea na ujenzi wa Barabara ziaidi ya km 4,0000 Nchi nzima zinaendelea(TanRoads)

-Kuna watu hawajui kwamba Mama karibu anaanza ujenzi wa Tactic na DMDP 2 Nchi nzima kabla ya 2025 miradi itakuwa Imekamilika ,mwezi ujao wa 10 Tactic awamu ya kwanza inaanza.

-Kiufupi sijagusia sekta za Ardhi Wala Utawala nk

Mama.hana mda wa propaganda ila mambo ni 🔥🔥🔥🔥
 
Ni katika awamu hiyo ya tano bei za vyakula na bidhaa muhimu zilikuwa stable alafu unakuja kuongea ujinga wa mikopo hapa. Sisi uchumi tunauangalia kupitia uwezo wa mtu kupata pesa kwa mahitaji yake na uhimilivu wa bidhaa sokoni. Mambo ya mikopo unaongelea nadharia za kipumbavu ambazo hazisaidii uchumi wa wananchi. Na kukariri manadharia haya bila kutumia akili kunakolididimiza taifa letu. Rubbish kabisaa
 
Wewe ni mpumbavu, umaskini uliotamalaki awamu ya 5 ndio kuwa stable? Kuna mlikuwa na hali Bora ya maisha Kwa nini mlishindwa kwenda kukopa banks muongeze kipato?

Watu wangekuwa hawana uwezo wa ku purchase hao wawekezaji wangemiminika Tanzania? Bidhaa huko madukani si zingedoda au munheona maduka yakigingwa na bei za nyumba kuporomoka Kwa sababu watu hawana hela.

Mbumbumbu wewe

View: https://twitter.com/thebizwiztz/status/1701240967670403205?t=rZHCPJwhx4hlbpIHdxf9uw&s=19
 
Watu waliokuwa wanafanya kazi halali waliendelea kupata kipato Chao halali. Ule ufisadi wa enzi za JK ulikomeshwa. Hela zikaanza kuonekana ktk miradi ya maendeleo. Nitakupa mfano.

Mwaka 2021 kabla Magufuri hajafariki kulikuwa na mradi wa maji Bukoba vijijini kwa ajili ya kuhudumia kata za Kemondo, Kanyangereko, Maruku na Mayondwe.


Kyaka kulikuwa na mradi wa maji kwa ajili ya wilaya ya Karagwe na Misenyi nzima. Hospitali ya wilaya Bukoba yenye kiwango cha hospitali ya rufaa ya mkoa ilijengwa na kumalizika mpaka 2021, vituo vya Afya 4 vilijengwa katika halmashauri hiyo. Tangu afe sasa, miradi yote miwili ya maji imekwama na hakuna shughuli inayoendelea, hopitali na vituo vya vilijengwa na baadhi ya vifaa kuletwa ila tangu Magufuri afe hakuna kilichoendelea. Barabara ya rami katika manispaa ya Bukoba zimecha kujengwa.


Mtaani maisha ni magumu alafu unasema uchumi unapanda? Ovyo kabisa, una macho ila huwezi kuona, ki kiziwi mwenye maskio
 
Nitajie fisadi hata mmja ambae mlimsweka ndani.

Hivi nyie na yule Rais wenu Kwa nini mlikuwa hamkamilishi miradi?
 
Fanikio mojawapo ni wewe kuweza kushiba ugali dagaa hapo kwa mume wa dada yako na kuwa huru kuja kuandika utumbo hapa JF
 
2.miradi gani aliyokaribu au iliyokwisha kukamilika?
Jnhepp 91%
Dar-Moro -dodoma sgr 97%
Tanzanite bridge 100%
Papu 100%
Wami bridge 100%
Privatization of Dar port to DPW 100%
Purchase of cargo aircraft: Boeing 767 100%
Purchase of new 787 Boeing dream liner 80%
Etc etc etc
 
Nitajie fisadi hata mmja ambae mlimsweka ndani.

Hivi nyie na yule Rais wenu Kwa nini mlikuwa hamkamilishi miradi?
Hoja ni kuwa watu waliokuwa wakifanya kazi halali waliendelea kupata kipato halali ila kama ulizoea magendo hiyo nafasi haikuwepo. Mpakani Mtukula semi trailer za viroba zimetaifishwa. Hivi kuna haja ya kutaja majina kweli? Mambo mengine yanaisha kimya kimya with a win-win end. Kwamba kama una biashara nyingine halali basi lipa kodi vzuri ila hii hautaopa tena ili iwe fundisho
 
Biashara zilianguka unazungumzia kipato halali wapi na wapi? Uliza wafanyabiashara au hata wewe hapo kama unafanya biashara unataka awamu ya 6 au ya 5? Utapata majibu?

Biashara zingekuwa nzuri mungeshindwa Kuajiri hata Watumishi?
 
Biashara zilianguka unazungumzia kipato halali wapi na wapi? Uliza wafanyabiashara au hata wewe hapo kama unafanya biashara unataka awamu ya 6 au ya 5? Utapata majibu?

Biashara zingekuwa nzuri mungeshindwa Kuajiri hata Watumishi?
Pesa kubwa ilielekezwa katika moradi ya maendeleo. Na matarajio yalikuwa na kwamba miradi hii ikamilike alafu hela zilizokuwa zinaenda kwenye miradi zirudi kwa watu sasa.
 
Useme tu kazi aliyopo ni kubwa kumzidi.
Wacha apuyange
 
Pesa kubwa ilielekezwa katika moradi ya maendeleo. Na matarajio yalikuwa na kwamba miradi hii ikamilike alafu hela zilizokuwa zinaenda kwenye miradi zirudi kwa watu sasa.
Maendeleo yapi ambayo mlishindwa kulipa Wastaafu,mkafukuza Watumishi,mkachota hela kwenye mifuko,mkapora wafanyabiashara na upuuzi kama huo yet miaka yote 6 hakuna mradi mliomaliza yote anafanya Samia saizi bila visingizio.

Mbona saizi miradi ya zamani hakuna uliosimama na miradi mipya sekta zote inafanyika bila visingizio?

Unazunguuka weee wakati jibu ni simple tuu hali ya uchumi ilikuwa mbaya Jiwe akaanzisha visingizio visivyo na msingi.

Miradi yote aliyoacha Jiwe Samia kalipa pesa nyingi kuliko Jiwe.Kwanza Mungu alimuwahi Magufuli vinginevyo saizi Hali ya Uchumi ingekuwa mbaya sana.

Mwisho hakuna uchumi ambao unastawi ikiwa biashara zinafungwa na wawekezaji walikimbia.
 
Wanajua sana ila chuki tuu binafsi zinawasumbua.

Baada ya Jiwe kumzingua Manji Mbaazi na ufuta viliporomoka bei achilia mbali korosho ambazo zilikosa wa kununua Hadi wakatuma.Wanajeshi 😂😂

Lakini saizi ni shangwe tuu mama.amewaleta wanunuzi

View: https://www.instagram.com/reel/CxDIikcMTnW/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
Pili amenunua CT scan Hospital zote za Mkoa Tanzania,tokea uhuru ni Mama kafanya.

Amenunua MRI machines Hospital zote za Kanda,tokea uhuru ni Mama kafanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…