DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Na hili nalo mkalitizameHasikilizi mtu, akisha amua ameamua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hili nalo mkalitizameHasikilizi mtu, akisha amua ameamua
Saa 100 ameingia kama laana kwenye nchi baadala ya kummiza kichwa kuongoza nchi yeye anatapanya pesa kwa kutengeneza mabango kila kona kwa kodi za wananchi sujui huo ujasiri nani alimpaI will be short,
Naomba watu wanipe . Mafanikio ya mama. Kwamba Leo akitoka tutamkumbuka ?? kwa kuweka maisha ya mtanzania kuwa mepesi?
Kumkataa mkandarasi wa 600b na kumpa kazi yule 1.5 trillionNitaorodhesha machache:
1. Kuwahamisha kwa nguvu wamasai toka Ngorongoro kwenda tanga.
2. Kuigawa Ngorongoro kwa warabu.
3. Kuigawa Dar port kwa DP world.
4. Na wengine wataongezea.
Hujui kweli au wivu na chuki? Wewe mafanikio huwa unapima Kwa kutazama nini?I will be short,
Naomba watu wanipe . Mafanikio ya mama. Kwamba Leo akitoka tutamkumbuka ?? kwa kuweka maisha ya mtanzania kuwa mepesi?
Mazanzibari na kazi kubwa wap kwa wapiRais Samia atakapokuwa anamaliza muhula wake mwaka 2030 tutamkumbuka kwa mengi sana,Tutapiga magoti na kutembelea magoti chini kumshukuru kwa kazi kubwa na yakipekee sana aliyoifanyia nchi na Taifa letu. Mpaka sasa amefanya yafuatayo japo nitaeleza machache kati ya mengi.
Rais Samia katika kuinua maisha ya watanzania na kuacha alama isiyo futika katika mioyo yao kutokana na kuandikwa kwa wino wa Dhahabu amefanya jambo la kishujaa sana,kwanza kwa kutambua ya kuwa asilimia kubwa ya watanzania ni wakulima akaamua kuweka mikono yake na nguvu yake kwa kutoa Ruzuku ya Billion mia moja hamsini katika pembejeo hasa mbolea ,hali iliyopelekea kushuka kwa bei ya mbolea sokoni,mfano mbolea ya DAP iliyokuwa inauzwa kwa laki na 40 ikaanza kupatikana kwa Elfu 70 Tu. Hatua hii kwa hakika ni alama ambayo haitafutika katika mioyo ya watanzania wakulima .kwani watanzania watakumbuka siku zote kuwa ni wakati wa Rais samia ambapo kilimo kikawa mkombozi wa maisha yao,ni wakati wa Rais samia ambapo wakulima wengi waliaga umaskini,Ni wakati wa Rais samia ambapo kilimo kikaanza kukimbiliwa na wasomi hasa vijana,ni wakati wa Rais samia ambapo wakulima walianza kujenga nyumba bora na za kisasa.Hii ni baada ya bei ya mazao kuwa nzuri kutokana na masoko ya mazao kuwa ya uhakika baada ya Rais samia kuimarisha Diplomasia yetu na kufanya Watanzania kupata masoko nje ya nchi.
Watumishi wa umma nao kwa machozi ya furaha watahadithia na kusimulia kwa uchungu mkubwa kuwa ni wakati wa samia ndipo walipoanza kuona wakipandishwa madaraja na kupewa stahiki zao,ni wakati wa Rais samia ndipo walipopandishiwa mishahara kwa 23% hasa wale wa kima cha chini,Ni wakati wa Rais samia ndipo watumishi wa umma walipoanza tena kupewa nyongeza ya mshahara ya kila mwaka,ni wakati wa Rais samia ndipo walipoanza kulipwa malimbikizo ya madeni yao,ni wakati wa Rais samia ndipo walipoanza kuheshimika na kuthaminiwa mchango wao katika ujenzi wa Taifa lao na Ni wakati wa Rais samia walipoanza kusikilizwa na serikali yao.
Vijana mbalimbali kwa upole na unyenyekevu watasimulia kuwa ni wakati wa Rais samia ndipo walipobahatika kupata ajira serikalini na kuinua na kuamsha matumaini yao kwa familia zao,Ni wakati wa Rais samia ambapo walipata mikopo mingi sana kupitia halmashauri zao,ni wakati wa Rais samia ambapo walifungua biashara nyingi pasipo kulipa mapato mpaka upite mwaka mmoja wa kukua na kusimama kibiashara,ni wakati wa Rais samia ambapo vijana walianza kupewa kipaombele katika miradi mbalimbali inayotekelezwa na serikali katika kupata ajira.
Wazazi watawasimuliwa watoto wao kuwa ni wakati wa Rais samia walisaidiwa mzigo na gharama za kusomesha baada ya serikali ya Rais samia kutoa Elimu bure hadi kidato cha sita na kutoa mikopo ya elimu ya juu kwa kila mwanafunzi mwenye sifa,ni wakati wa Rais samia ambapo watoto wao waliohangaika kwa miaka mingi walipoanza kupata ajira serikalini na kuwasaidia wazazi wao.
Watanzania watakumbuka na kumkumbuka Rais samia kuwa ni wakati wake ambapo wanafunzi wote wanaofaulu kujiunga na kidato cha kwanza walipoanza kuripoti wote kwa wakati mmoja kutokana na serikali ya Rais samia kujenga vyumba vya madarasa zaidi ya elfu ishirini Nchini.ni wakati wa Rais samia ambapo shule zilijengwa kwa ubora utafikiri tupo ulaya huku zikiwa zimewekwa madirisha ya aluminium.
Wafanyabishara nao pia watamkumbuka Rais samia na kusema kuwa ni wakati wake ambapo walifanya biashara kwa uhuru,walikuwa huru kuweka hela benki bila hofu ya kuchotewa fedha zao pasipo utaratibu wa kisheria na kibenki,watasema kuwa ni wakati wa Rais samia ambapo mzunguko wa fedha na biashara ulikuwa mzuri na biasht zilifanyika vizuri mpaka kupelekea wao kulipa mapato pasipo shida wala wasiwasi.
Wanafunzi wa vyuo vikuu watamkumbuka mama yao kuwa ni yeye ndiye aliyefanya uamuzi wa kijasiri wa kuanza kuwapa shilingi Elfu kumi kila siku kama fedha ya kujikimu,na hivyo kuongeza hamasa ya kujisomea kwa utulivu.
Wanasiasa na wanaharakati na wananchi mbalimbali watamkumbuka Rais samia na kusema ni wakati wake ambapo demokrasia ilikalia kiti chake na kutoa uhuru kwa kila mtu kuzungumza chochote kile pasipo hofu wala wasiwasi ,waandishi wa habari watasema ni wakati wa Rais samia ambapo wakiweza kuandika habari na kutangaza habari pasipo uoga wa aina yoyote ile.
Watanzania watasema ni wakati wake ambapo waliishi kwa furaha na viwango vya furaha vikiongezeka nchini kutokana na uongozi wa Rais samia kuwagusa na kuwainua kiuchumi,ni wakati wake ambapo uchumi ulionekana kukua katika mifuko ya watanzania na ni wakati wake ambapo yeyote mwenye kufanya kazi kwa bidii, juhudi na maarifa aliweza kujipatia kipato pasipo shida yoyote ile.
Nitaendelea baadaye au kesho panapo majaliwa ya mwenyezi Mungu ngoja nipumzike kidogo.
Hivi tunatenganishaje majukumu ya kawaida ya serikali na jitihada au mafanikio ya Rais katika uongozi wake?Rais Samia atakapokuwa anamaliza muhula wake mwaka 2030 tutamkumbuka kwa mengi sana,Tutapiga magoti na kutembelea magoti chini kumshukuru kwa kazi kubwa na yakipekee sana aliyoifanyia nchi na Taifa letu. Mpaka sasa amefanya yafuatayo japo nitaeleza machache kati ya mengi.

Tunatenganisha vp majukumu ya kawaida ya serikali tunazungumzia hayo mafanikio ya Samia kwenye uongozi wake?Hujui kweli au wivu na chuki? Wewe mafanikio huwa unapima Kwa kutazama nini?
Maana naweza kuorodheshea hapa ukaanza tena kupinga
Toka enzi za Nyerere mnasemaga alikuwa haambiliki,seems hii ni sifa njema ya Kiongozi,safi sana.Hasikilizi mtu, akisha amua ameamua
Bongo hapa fanya Yako songa mbele na kiukweli napenda sana utaratibu wa Tiss kuchagua Rais na kuhalalisha Kwa njia ya uchaguzi.Nisione mtu anasema Hajafanya kitu, Mana hata walio ongezewa mishahara watajifanya hawaoni.
Muwanafiki sana wa Bongo.
-Naongezea kujenga maelfu ya Barabara Vijijini,hakuna Kijiji hakipotiki Kwa Sasa na hii ni matokeo ya Tarura kupata Bajeti mara 4 ya awamu ya 5Nakutajia chache:
1. Kuongezeka kwa makusanyo ya kodi. Kutoka 800bn -1tn wakati wa magu hadi 2-3tn sasa.
2. Kuweza kukamilisha au kukaribia kukamilisha miradi yote mikubwa aliyoianzisha magu.
3. Kujenga miradi mikubwa ya maji kila mkoa, wilaya, kata na vijiji kupitia mtue mwanamke/mama ndoo
4. Barabara nyingi za lami kuifungua nchi zimejengwa na zinaendelea kujengwa.
5. Wastaafu wanapata mafao yao ndani ya siku 40 badala ya miaka miwili au zaidi wakati wa magu. Hongera sana Mhe. Rais na psssf kwa hili wazee wetu sasa wana amani ya moyo.
6. Kukua kwa demokrasia nchini tofauti na ilivyokuwa awamu ya tano..
7. Wanafunzi kuanzia primary hadi form SHIKSH wanasoma buuure kabisa
8. Niendeleeee????
Democrasia ni nini? Amefanikiwaje?By the way SAMIA ukimlinganisha na mtangulizi wake-Magufuli,SAMIA ana mafanikio mengi zaidi.
1.Democracy
2.Uchumi
Bora ata kipindi cha jiwe tulikuwa tunaona mradi wa vituo vya afya vilivyokamilika kwemye page ya TAMISEMI kuliko sasa ata picha hatuoni tunaona maneno tu kafanikiwa kafanikiwa kujenga!-Naongezea kujenga maelfu ya Barabara Vijijini,hakuna Kijiji hakipotiki Kwa Sasa na hii ni matokeo ya Tarura kupata Bajeti mara 4 ya awamu ya 5
-Amejenga na Anajenga shule Mpya za msingi na Sekondari Kila Mkoa na Wilaya Nchi hii bila mwanakijiji kusumbuliwa.
-Amejenga zaidi ya Vituo vya Afya 250 Kwa mda mfupi,vinaitwa Vituo vya Afya vya kimkakati ambavyo vimeenea Kila sehemu hasa Vijijini
Amekamilisha hospital zote zilizoanza awamu ya 5,amejenga Mpya na Sasa Kila Wilaya Ina hospital ya Wilaya
Amejenga majengo ya Huduma za dharura kwenye hospital zaidi ya 200,Sasa hivi ukipata ajali huwazi na ziko well equiped na vifaa vya Kisasa
Kiufupi tutajaza seva tukisema tuorodheshe hapa
Narudia kusema hakuna Rais wa Tanzania aliyetekeleza ilani na kuleta maendelea makubwa Kwa mda mfupi kama Samia na hapo ni sekta zote bila visingizio.
Nitawashangaa Tiss wasipompigania mama,mama asuposimama sio tuu sitopiga kura Bali nitaacha kabisa kujishughulisha na Siasa.
Nina Imani na Samia Kwa sababu ameanzisha programe za maendeleo ambaozo nyingi zake zinakoma 2030 kama ajenda 10/30,kiwanda Cha kuchakata gas Asilimia,Barabara zaidi ya km 2,000 za EPC +F na PPP,mtaalan Mpya wa Elimu,Utalii kufikia visitors mil.5 na Uchumi kukua Kwa 10%
Tofautisha kutafuta sifa na uhalisia kwenye mtaa.Nitajie Mkoa unaoishi kwanza Ili nikutajie mamia ya miradi huko Ili uende harafu uniambie kama vipo au ni stori kama unavyosema.Bora ata kipindi cha jiwe tulikuwa tunaona mradi wa vituo vya afya vilivyokamilika kwemye page ya TAMISEMI kuliko sasa ata picha hatuoni tunaona maneno tu kafanikiwa kafanikiwa kujenga!
Halafu watu wana macho lakini yote hayo hawayaoni. 2025 kura zote kwa mama!-Naongezea kujenga maelfu ya Barabara Vijijini,hakuna Kijiji hakipotiki Kwa Sasa na hii ni matokeo ya Tarura kupata Bajeti mara 4 ya awamu ya 5
-Amejenga na Anajenga shule Mpya za msingi na Sekondari Kila Mkoa na Wilaya Nchi hii bila mwanakijiji kusumbuliwa.
-Amejenga zaidi ya Vituo vya Afya 250 Kwa mda mfupi,vinaitwa Vituo vya Afya vya kimkakati ambavyo vimeenea Kila sehemu hasa Vijijini
Amekamilisha hospital zote zilizoanza awamu ya 5,amejenga Mpya na Sasa Kila Wilaya Ina hospital ya Wilaya
Amejenga majengo ya Huduma za dharura kwenye hospital zaidi ya 200,Sasa hivi ukipata ajali huwazi na ziko well equiped na vifaa vya Kisasa
Kiufupi tutajaza seva tukisema tuorodheshe hapa
Narudia kusema hakuna Rais wa Tanzania aliyetekeleza ilani na kuleta maendelea makubwa Kwa mda mfupi kama Samia na hapo ni sekta zote bila visingizio.
Nitawashangaa Tiss wasipompigania mama,mama asuposimama sio tuu sitopiga kura Bali nitaacha kabisa kujishughulisha na Siasa.
Nina Imani na Samia Kwa sababu ameanzisha programe za maendeleo ambaozo nyingi zake zinakoma 2030 kama ajenda 10/30,kiwanda Cha kuchakata gas Asilimia,Barabara zaidi ya km 2,000 za EPC +F na PPP,mtaalan Mpya wa Elimu,Utalii kufikia visitors mil.5 na Uchumi kukua Kwa 10%
uhuru wa kusema maneno kama haya,Sijaona labda kusafiri hovyo nje ya nchi kazi yake yeye na nape kutubania vifurushi vya bando
Hiyo ni sehemu ndogo sana ya aliyokamilisha na anayoendelea nayo.Halafu watu wana macho lakini yote hayo hawayaoni. 2025 kura zote kwa mama!
1.Kuhudhuria kila sherehe,Kufukuza wamasai Ngorongoro, kuuza Bandari na Kuleta mgao wa umeme tuliokuwa tumeusahau.In short Taifa limerudi nyuma.
Majengo mengi Kwa pesa ya COVIDShida yenu hamjui mlitakalo. Mkienda huko vijijini kwenu mkiamua hata kuangalia majengo ya shule aliyowajengea inatosha kupima mafanikio ya Samia. Ila ndo hivyo Chuki ni ugonjwa mkubwa sana.
Tatizo la Jobless lilitengenezwa na JK na Lowasa Kwa sera zao za elimu bila kuweka mazingira mazuri baada ya kuhitimu ngazi husikaKatoa jobless wachache mtaani tatizo lililotengenezwa na mtangulizi wake
La kwanza kukomesha kupoteza na kuuwa wapinzani na kuondosha pre bargaining kwenye kesi za kubambakizia wafanye biashara.kuondosha kabisa riba katika mikopo ya wanafunzi na kuongeza maradufu pesa kwenye bodi ya mikopo.kuhakikisha kwmba wanafunzi wanapata mimba wakiwa mashuleni na bado wakiwa wanataka kuendelea na masomi waruhusiwe kuendelea baada ya kujifunguwa. Kuruhusu wanasiasa wa upinzani waendelee ni kazi zao za kisiasa bila bughudha ilimradi tu wanZingatia sheria na mwisho kuendeleza miradi yote ambayo mtangulizi wake aliianzasha na kuanzisha mengine mipya.I will be short,