Mafanikio ya Sugu na Profesa Jay yalivyowaponza Wasanii na Siasa chakavu za CCM

Mafanikio ya Sugu na Profesa Jay yalivyowaponza Wasanii na Siasa chakavu za CCM

Siku Upinzani ukichukua nchi hakutakalika kwa aibu za wasaniii wanaojipendekeza sijui wataweka wapi sura zao.
Hapana upinzani hatuna roho ya Vusasi tutawawezesha mazibgira ya kukua na kukuza vipaji vyao.
 
Umenikumbusha watu kama Bob Marley,Piter Tosh.Kazi ya Msanii kutetea jamii,sio kuisifia selikali inayokandamiza raia wake
Now you are talking. Pata kibao kwanza cha Peter Torsh

1. Wanted dead or live
2. Fools die for want of peace.

Ntakuwekea audio badae.
 
😆😆 nilimsikia manager wa msanii mkubwa mmoja. Wakati akijinadi mbele ya wajumbe. Eti manager anasema yy anajulikana karibia Africa nzima ana waambia wajumbe wasiache kumchagua na wasipoteze nqfasi iyo maana yy anajulikana na anaweza waletea maendeleo ikiwemo barabara
Nikasema God for Bit yaan anafikiri kujulikana kwake through music kutaleta maendeleo kijijini 😀😀😀 ila ngoja tusubirie tuone majawabu ya chumba cha daktari
Bab Tale😆😆
 
Mnawaonea bure wasanii, hata huyo sugu na Prof j wangeenda jaribu kugombea kupitia CCM wasingetoboa, Mana CCM Ina wenyewe, ndo maana wakaenda upinzani. Naamini upinzani wanachoangalia kikubwa Ni uhakika wa kupata Jimbo na ruzuku iongezeke, mtu Kama mwana fa, akienda kawe kupitia upinzani anaweza kuibuka mshindi
 
Kwa ccm kama huna fedha tembea mbele hata jani lisikuguse
 
Kiki za bongo zinaharibu wasanii,mtu anakuja na kiki yake anasikika kwenye mitandao ya jamii anapata followers wengi anadhani anakubalika,kuna watu wanaishi na jamii in real life siyo mitandaoni,jamii husika wanaona mchango wao na kufahamiana,leo mtu anakuja tu anagombea ubunge na jimboni ndo mara ya kwanza kuonekana,unadhani atapata kura ngapi.

Ukitaka uongozi kaa karibu na jamii itumikie hata kwa vyeo vidogo watakukubali tu,hela nayo ni kigezo cha pili cha mafanikio
 
Kiongozi umeanza vizuri bt huku mwisho ndio umeharibu ulipomtaja huyo .....
 
Master j amekosa vyote ubunge na Rasta,aliponyoa tu Rasta na nguvu zikamuishia.
Gwaji kakosa ubunge na heshima yake kwa waumini wake,atabaki na waumini wa chama chake tu.
Master Jay ameshahau Nadhiri ya Nywele. Samson wa Delila katika Biblia alikuwa na nguvu akiwa na nywele. Alipozinyoa tu akapigwa hadi kufa. Kuna siri kubwa ktk nywele. Ndio maana waswahili husema akili ni nywele sio kwa sababu kila mtu anazo.
 
Kiki za bongo zinaharibu wasanii,mtu anakuja na kiki yake anasikika kwenye mitandao ya jamii anapata followers wengi anadhani anakubalika,kuna watu wanaishi na jamii in real life siyo mitandaoni,jamii husika wanaona mchango wao na kufahamiana,leo mtu anakuja tu anagombea ubunge na jimboni ndo mara ya kwanza kuonekana,unadhani atapata kura ngapi.

Ukitaka uongozi kaa karibu na jamii itumikie hata kwa vyeo vidogo watakukubali tu,hela nayo ni kigezo cha pili cha mafanikio
You nailed it bro.

Katika Biblia Yesu aliwambia wafuasi wake( wanafunzi 12) kuwa ukitaka kuwa mkubwa lazima uwe mtumishi wa wote.

Wasanii hili hawalijui. Wanajua makuzi na kujikweza tu. Hawajui kutofautisha maisha ya kisanii na maisha yao binafsi
 
Master Jay ameshahau Nadhiri ya Nywele. Samson wa Delila katika Biblia alikuwa na nguvu akiwa na nywele. Alipozinyoa tu akapigwa hadi kufa. Kuna siri kubwa ktk nywele. Ndio maana waswahili husema akili ni nywele sio kwa sababu kila mtu anazo.
Master Jay kapata kura ngapi?
 
Back
Top Bottom