Mafanikio ya Sugu na Profesa Jay yalivyowaponza Wasanii na Siasa chakavu za CCM

Mafanikio ya Sugu na Profesa Jay yalivyowaponza Wasanii na Siasa chakavu za CCM

acha kumuabisha Sugu na Prop J kwa kuwafananisha na vitu vya ajabu.

Nje ya Ubunge na Muziki, Sugu na Prop J ni vijana wenye akili na exposure kubwa..wote hao hawana tabia za hawa vijana mbogamboga ili wapate hela lazima wadhalilishe utu wao kwanza kwa kujipendekeza na unafiki.. Sugu na Prop J ni wapiga kazi kweli mpaka kufika hapo walipo hilo hata CCM na wakubwa wote wanalifahamu ndio maana heshima ya hawa wawili kwa jamii inayojielewa wanaheshimika sana..
 
Kipimo cha wasanii wetu ni kwa wanachokiimba na kuigiza ni mapenzi na kuharibu vizazi kwa Mambo ya ajabu. Hii ni kufanya kazi kwaajili ya njaa ya tumbo na akili. Sasa penye mfupa ndo wanaelekekea naamini hata ikawa chadema wataenda tu maana ni njaa, japo wanaitumia Kama haki yao kidemokrasia
 
Kwa wingi ule kama Nyumbu( kwa mujibu wa Baba levo) sio demokrasia ni kiashiria cha njaa kali miongoni mwao.

Ukumbuke Hali ya uchumi inapokuwa mbaya kwa Raia kazi zao pia haziuziki na hazilipi. Lakini wao miaka yote wamekuwa wakiona kelele tunazopiga wapinzani na Rai wema kama siasa tu za kipuuzi. Hawakuwahi kudhani kuwa hali ikiwa mbaya na wao wataathirika.
 
Tatizo kubwa wasanii walikurupuka bila kutumia akili. Yani upinzani au ccm ni lazima uwe mwenzao. Uwe unashiriki ktk ujenzi wa chama walau kidogo. Uwe unashiriki ktk mambo ya kijamii. yani haiwezekani watu wanapambana usiku na mchana kuimarisha chama wewe upo tu na mambo yako afu inafika kipindi cha uchaguzi ndo unajifanya nawe kada.
 
Back
Top Bottom