Mafanikio ya Sugu na Profesa Jay yalivyowaponza Wasanii na Siasa chakavu za CCM

Mafanikio ya Sugu na Profesa Jay yalivyowaponza Wasanii na Siasa chakavu za CCM

Yaani ccm waliwapa fomu malaya wanaojiita wasanii wagombee ubunge !!!!

Inasikitisha sana.
 
Mnawaonea bure wasanii, hata huyo sugu na Prof j wangeenda jaribu kugombea kupitia CCM wasingetoboa, Mana CCM Ina wenyewe, ndo maana wakaenda upinzani. Naamini upinzani wanachoangalia kikubwa Ni uhakika wa kupata Jimbo na ruzuku iongezeke, mtu Kama mwana fa, akienda kawe kupitia upinzani anaweza kuibuka mshindi
Kawe kwani ni mkazi wa Kawe?
 
Tatizo wote wanataka kwenda ccm wangeingia chadema sidhani kama watu wangekosa pale tatizo sijui ni uoga woooote wanajirundika sehemu mmoja
Nilimshangaa sana Mwanafa jimbo lilikuwa wazi sana kupitia CHADEMA ila akajilipua kwenda ambako hata kama angepita vijana wenzake wasingempa support kubwa sana zaidi ya dola.
 
Back
Top Bottom