Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kawe kwani ni mkazi wa Kawe?Mnawaonea bure wasanii, hata huyo sugu na Prof j wangeenda jaribu kugombea kupitia CCM wasingetoboa, Mana CCM Ina wenyewe, ndo maana wakaenda upinzani. Naamini upinzani wanachoangalia kikubwa Ni uhakika wa kupata Jimbo na ruzuku iongezeke, mtu Kama mwana fa, akienda kawe kupitia upinzani anaweza kuibuka mshindi
Nilimshangaa sana Mwanafa jimbo lilikuwa wazi sana kupitia CHADEMA ila akajilipua kwenda ambako hata kama angepita vijana wenzake wasingempa support kubwa sana zaidi ya dola.Tatizo wote wanataka kwenda ccm wangeingia chadema sidhani kama watu wangekosa pale tatizo sijui ni uoga woooote wanajirundika sehemu mmoja
Lazima uwe kamanda, kulala selo Kila SIKU na mikutano yako kukataliwa kupigwa marufukuHawana ubavu wa kuingia Chadema. Huku ni utumishi tu hakuna posho wala vyeo.
Hakuna msani mwenye ubavu huo hata mmoja. Ndio maana hawathubutu.Lazima uwe kamanda, kulala selo Kila SIKU na mikutano yako kukataliwa kupigwa marufuku
Hata kamati za maadili sijui huwa zinaangalia maadili gani?Yaani ccm waliwapa fomu malaya wanaojiita wasanii wagombee ubunge !!!!
Inasikitisha sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiiihPascal Mayalla kaambulia sifuri yenye masikio