This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Hizo kazi ngumu za shurba hawafanyi.Sio Wanaijeria tu. Wasomali, Caribbean, Black Americans nawafananisha kama wapalestina kulalamika muda wote. Hawajui kuchangamkia fursa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo kazi ngumu za shurba hawafanyi.Sio Wanaijeria tu. Wasomali, Caribbean, Black Americans nawafananisha kama wapalestina kulalamika muda wote. Hawajui kuchangamkia fursa.
Waziri wa fedha ni mzungu Janet Yellen.Of course habari zao za kesi za kusafirisha madawa ndizo tunazozisikiaga ila amini usiamini hawa ni idadi ndogo sana, ila ni vile tu ndio habari pekee ambazo wengi huzisikia....
Nlichapia ni cheo cha Deputy Treasury Secretary, ni kikubwa tu huko usa ma kinahusikana na ishu za fedha.Waziri wa fedha ni mzungu Janet Yellen.
Ni sawa na kusema naibu waziri kwa mukhtadha wa Tz.Nlichapia ni cheo cha Deputy Treasury Secretary, ni kikubwa tu huko usa ma kinahusikana na ishu za fedha.
kwa kiswahili kinaitwaje?
Iyo avatar picha yako ni ya yule Billionea black AmericaNi Kweli uwezesho unatakiwa lakini ni lazima wapambane. Kama ni madhira ya utumwa hata wayahudi wametokea huko huko.
Kwasababu huwezi kutegemea silver spoon kwenye ulimwengu wa kibepari. Ngoja hao wahamiaji wawachangamshe.
Robert SmithIyo avatar picha yako ni ya yule Billionea black America
Mbona huyojamaa naona anaangzia matukio tu yaliyotokea yanayohusu blacks na Africans kwa ujumla ?Kuna huyu mmarekani mweusi anawadiss sana wanaijeria ana channel yake huko youtube >> HII HAPA <<
View attachment 1706306View attachment 1706307View attachment 1706309
Mzaramo hawezi hama Mzizima. Huko Pwani kuna maeneo/ mashamba. Uliyehama ni wewe toka kijijini/mkoani kwakoNi kama Wazaramo tu hapo Mzizima, wanazidi kusokomezwa ndani ndani hukooo!![emoji276]
Mzaramo hawezi have Mzizima. Huko Pwani kuna maeneo/ mashamba. Uliyehama ni wewe toka kijijini/mkoani kwako
Naked truth.Of course habari zao za kesi za kusafirisha madawa ndizo tunazozisikiaga ila amini usiamini hawa ni idadi ndogo sana, ila ni vile tu ndio habari pekee ambazo wengi huzisikia.
Aisee hawa viumbe waliotapakaa kila kona ya dunia sio siri wana kitu cha ziada.
Huko Marekani Wanaijeria wanafanikiwa vibaya mno katika sehemu nyingi kuanzia biashara, burudani na hata elimu tabaka ambalo limeelimika kuzidi tabaka lolote, hawa wazungu wamepigwa kanzu.
Sasa hii ishu inawaumiza sana Wamarekani wazawa weusi ambao wengi wao hata shule zimeenda kushoto, ndoto zao mara nyingi huwa wanamichezo, waimbaji, waigizaji, n.k.
Kwa mawazo yangu naona Wamarekani weusi wasipokaza basi huu ndio utakuwa mwanzo wa anguko lao, ikumbukwe Waziri wa Fedha wa saizi wa Marekani ni Mnaijeria aliyezaliwa Naijeria.
Hio ni stereotype tu mkuu.Naked truth.
Ila ni matapeli sana
Inawezekana hao wamarekani weusi asili yao ni Tanzania, maana watanzania ni jadi yao kulialia badala ya kuchukua maamuzi magumu.Wamarekani weusi wanachochukia saizi ni kwamba wanaijeria wameanza kumfanya mtu mweusi nae anaweza, Kwa muda mrefu wamarekani weusi walikuwa wakilalamika wanaonewa hawabebebwi, kitu ambacho kilifanya wamarekani weusi liwe kundi linaloangaliwa kwa jicho la huruma katika maauzi, Ila sasa hivi hawa wanaijeria wanawaharibia wamarekani weusi ambao walikuwa wanabebwa kwa mgongo wa huruma ya serikali.
Hakika Mnaijeria kwa sasa atawapiga gepu sana hawa Wamarekani weusi.
Trump alikuwa kawapiga pini wanaijeria wasiingie Marekani ila saizi Biden kafungua geti, Wacha wamarekani weusi waisome namba
Hata mpira wa tanzania zamani ligi ilipokua haina wachezaji wa kigeni, wazawa waliridhika sana kwa kukosa changamoto za ziada matokeo yake walibweteka na timu zilikuwa zinafungwa ovyo zikikutana na tim za nje tofauti na sasa tukiwa na wachezaji wa kigeni wanaoleta changamoto.Inawezekana hao wamarekani weusi asili yao ni Tanzania, maana watanzania ni jadi yao kulialia badala ya kuchukua maamuzi magumu.