Mafanikio ya Wanaijeria waishio Marekani yanawakera sana Wamarekani weusi wazawa

Mafanikio ya Wanaijeria waishio Marekani yanawakera sana Wamarekani weusi wazawa

Siwezi kubishana na wewe kuhusu wanaijeria.

Nitakuwa napoteza muda ila ukweli ni kuwa wanaijeria ni matapeli hata uandike kitabu kizima.

Kwanza wewe ni me au ke?
Nataka kujua kwa nini unawatetea
Inategeana na unaokutana nao, yawezekana umekutana na wa mitaani, mimi nimekutana na wenye kazi zao ambao hawana hizo ishu,
 
Inabidi tukomae sasa! Tuzaliane na tuwe na uthubutu... sio kweli kwamba Igbos wana kitu cha ziada bali ugumu wa maisha ndio umepelekea wao kufika mbali...
Wanatafuta hela kwa kadri inavyowezekana! Nadhani wakitoka Nigerians wanafuatiwa na wasomali kuwa na uthubutu wa namna hiyo!

..tukitaka maisha mazuri hapa Tz basi tuwe waangalifu ktk masuala ya kuzaa.

..tukitaka vijana wetu watoroke nchini kwenda kutafuta maisha "mazuri" ughaibuni basi tuzaane kwa wingi kama Wanigeria na Waethiopia.
 
Back
Top Bottom