Mafanikio ya Wanaijeria waishio Marekani yanawakera sana Wamarekani weusi wazawa

Wamarekani weusi ni wavivu wale

Unakuta mtu kamaliza chuo na taaluma yake ila anaranda randa tu mitaani wakati ajira za vibarua zipo

Tujiulize kwa nini watu weupe(wazungu wa USA) na hispanics si watu wa strip Clubs kama wamarekani weusi
Ukiwaambia utaitwa Racist hadi ushangae,na ndio ukweli wenyewe huo...Kosa la Trump alikuwa mkweli kupita kiasi watu wakamuona Racist,ila alichokuwa anaongea ndio uhalisia wa maisha kila kijana anatakiwa kujua,kwamba huu ulimwengu hauna huruma na mtu mvivu.Siasa ya marekani haitaki ukweli inataka mtu mnafiki mnafiki anayeweza ku play victim and race card vizuri,hawa ndio wamejaa na wanawaharibu vijana sana tu...
 
Picha
 
[emoji16][emoji16][emoji16]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Iv nao wana ushirikana wa kurogana
 

Mkuu cha kusikitisha vijana wanashindia uhuni uhuni wa kushinda Club na magenge ya kijinga kijinga though wachapakazi weusi wapo ila wachache sana

Ukitaka kujithibitishia kuwa wale Black Americans wako ovyo fuatilia mji wa Atlanta jimbo la Georgia

Sasa mtu kukalia miziki,magenge ya uhuni na Vilabu vya usiku kutawainua ?
 
Acha uhanitthi wewe.. unawajua wazaramo wewe au unadhani hawa waha na wamanyema waliozamia dar enzi za nyerere ndio wazaramo?

Mzaramo wewe acha kulialia, niuzie hilo jumba la urithi nawe utokomee mbali huko!

Unateseka?
 
Kama sisi wazaramo hapa dar tunavyo kerwa na wachaga na wakinga walio vamia mji wetu na kujimilikisha.
 
Wanaijeria wanachukiwa kwa sababu ya utapeli na kuwalaghai wanawake.
Kuhusu wanawake hawa jamaa wanajua ku care na kuhonga na pia ni waaminifu kwenye mapenzi kwahiyo akimpata mwanamke ni ngumu kuchomoka tofauti na sisi wabongo na congoman uongo mwingi, hatutoi hela, hatueleweki tunafanya nini na kila mwanamke tunaemuona tunataka tuchape
 
Ni watu walalamishi sana,wakipata hela kazi yao kununua magari ya kifahari na nyumba.Just imagine a black man akipata pesa ananunua magari 15 na nyumba za kifahari 7!,just imagine vya nini?,badala ya ku invest kwenye assets zinazoweza kuleta return kwa muda mrefu kama shares,bonds,bills.Wanakimbilia kununua magari na kufanya starehe.Kingine hawataki majukum ya kifamilia,wanazalisha wanawake zao halafu wanaaacha ma single mother,wanawaite majina ya dharau,bitches,hoe n.k.Investment kubwa marekani kama.music,film,malls,banks,manufacturing,zote zimeshikwa na watu weupe.Hata huo mziki na michezo wanayoipenda yote investors ni weupe.Wao wakipata hela ni pombe,magari na wanawake.Wakiambiwa ukweli wanaita watu racists,.
Sasa hivi wanataka eti reparations kwa sababu wazee wao walichukuliwa watumwa,economic bases zote zipo kwa wazungu na latinos,sasa siku wakilipwa hata hizo reparations paymnts yaani ndani ya siku 3 tu pesa yote inakuwa isharudi kwa whites economic streams,b'se blacks hawa own nyenzo za uzalishaji,they are typical comsumers...Watabaki kudai favours tu
 
Hawa watu walichotushinda ni population na mfumo wa kuanza kusafiri mapema lakini siyo wajanja kama wanavyokuzwa,kuna mafala wengi tu wa kipopo wakiingia kingi hata mbongo anawapiga.

..umesahau KIINGEREZA.

..kwasababu wana uwezo wa lugha basi wanakuwa wepesi kuchangamkia fursa, na hata kufanya utapeli.
 
Kumbuka kuna watu wengi tu kutoka kila pande za dunia hata kila nchi za Afrika, Ila daah hawa wanaijeria ni kama wametumwa kuyatafuta maisha marekani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nigerians ni noma , Hakeem olujuwan , Nas Escobar , chamelionare , Sade ,
Popo kwao ni masikini sana pia Wana baguana kwa dini na kabila,popo muda wote anawaza kuiba
Wanajeria wako smart sana
 
hiyo mijamaa ndani ya vichwa vyao imejaa fikra za kibaguzi, lakini wao ndio haweshi kulalamika wanabaguliwa
Hamkuepo kipindi watu wanapigania haki zao kutokana na ubaguzi wa wazi wazi. Hawalalamiki bure kuna kipindi fursa ilikuwa ngumu sana kupewa mtu mweusi. Kila kona mweusi alionekana wa ajabu au jambazi maan ilibidi haki itafutwe kwa nguvu na sio iombwe. Na bado wazungu walivo wabaguzi wakasema hawa ni majambazi na kuongeza sababu za ubaguzi. Aisee em waoneeni huruma wenzenu wanavopikwa huko.
 
Hawana usmart wowote wapumbavu tu,
Niambie Tz inaizidi nini nijeria ? Angalia wanajeria hawa nankwo KANU , okocha , kamaru Osman, Sade , olujuwan, dangote , abiola , lukman ademola , Wiz kid , burns boy , Davido , maprofesa kibao wako vyuoni US na UK , finidi George , amokachi , etc , nitajie ni mbongo anafikia mafanikio ya hao watu
 
Huwezi ukaenda nchi ya watu halafu ukaleta blah blah, ni kama unavyoona Wahindi walivyo huku kwetu, Chinese, au Wasomali. Ukifika nchi isio yako ni lazima upambane sana ili maisha yaende la sivyo utashindwa, wakati wale wazawa wanachukulia poa tu....
ni kama tu vile wazaramo wanavyopigwa gape kila siku na watu wa mikoa ya bara wanaohamia dar.
 
Inabidi tukomae sasa! Tuzaliane na tuwe na uthubutu... sio kweli kwamba Igbos wana kitu cha ziada bali ugumu wa maisha ndio umepelekea wao kufika mbali...
Wanatafuta hela kwa kadri inavyowezekana! Nadhani wakitoka Nigerians wanafuatiwa na wasomali kuwa na uthubutu wa namna hiyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…