Mafanikio ya Wanaijeria waishio Marekani yanawakera sana Wamarekani weusi wazawa

Siwezi kubishana na wewe kuhusu wanaijeria.

Nitakuwa napoteza muda ila ukweli ni kuwa wanaijeria ni matapeli hata uandike kitabu kizima.

Kwanza wewe ni me au ke?
Nataka kujua kwa nini unawatetea
Inategeana na unaokutana nao, yawezekana umekutana na wa mitaani, mimi nimekutana na wenye kazi zao ambao hawana hizo ishu,
 

..tukitaka maisha mazuri hapa Tz basi tuwe waangalifu ktk masuala ya kuzaa.

..tukitaka vijana wetu watoroke nchini kwenda kutafuta maisha "mazuri" ughaibuni basi tuzaane kwa wingi kama Wanigeria na Waethiopia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…