DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Tuachane na mambo yakumsumbua Mungu wakati ni ujinga wetu wenyewe vichwa vimelala.Kwa style hii..itafika wakati Watanzania wataomba Mungu aingilie Kati[emoji1787][emoji1787]
Hila hii kauli sio nzuri uliyo ongea boss Mlamba asali punguza ukali wa manenoDawa sass ni kuwauwa tu na wao ili wasiligharimu taifa
Kweli, lakini huu ujinga wala hauhusiani na ubepari. Siamini kama kuna nchi ya kibepari wanaokubali upumbavu kama huu.Africa ujamaa ulitufaa zaidi, kuna jamii flani za watu zipo tofauti na wengine, mifumo ya kibepari tuwaachie wazungu.
Jasho la Kodi la walalahoi walizokula miaka na miaka hawajatosheka tuh?hadi wadai pension ya jasho letu pia,kama ana Haki ale Hela za mume wake, siyo jasho letu.Salma ni mke halali wa Kikwete ana haki zote za kutumia mali za mme wake na jina la mme wake kwa sababu ni mme wake...
Kodi za wananchi siyo mali ya Kikwete, elewa hilo.Salma ni mke halali wa Kikwete ana haki zote za kutumia mali za mme wake na jina la mme wake kwa sababu ni mme wake...
Hiyo familia haijawahi kuwa na mshipa wa aibuHiyo ni kuutumia vibaya umaarufu wa Jakaya Mrisho Kikwete.
Kwamba umaarufu wa Kikwete umetumika kujilimbikizia mali, hilo halijakaa vizuri.
Siingii kwenye uchambuzi wa mafao yenyewe, lakini kiuhalisia kuutumia umaarufu wa jina la Kikwete kujilimbikizia mali, ambazo ni kodi za wananchi, sipepesi macho huo ni ufisadi wa fedha za umma.
Namalizia kwa kusema, sijui kama swala la mafao ya wake za viongozi, kama lilivyosukumwa na mama Salma, je? Je, lilipita chujio la familia ya Kikwete?
Na je? Kikwete anaweza tokea hadharani kutetea hilo?
Ule ni uroho kwa kweli ana njaa gani hadi atake kulipwa na hela za umma kwenye nchi masikini kama hii pale kajivunjia heshima,Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, salaam.
Mimi mmoja wa watu nilikuwa nakufuatilia sana na kukubali kisiasa, toka ukiwa waziri awamu za nyuma, Rais, na sasa Rais mstaafu.
Kwa sasa unlikuwa unafit sana nafasi ya Elder Statesman, mwanasiasa mwandamizi nchini, ambaye kwa uzoefu wake kulitumikia Taifa ungetumika kama point of reference kwa mambo yote nchini , kisiasa na kiuchumi.
Lakini cheo hiki cha Elder Statesman kina gharama ya kuishi above controversy, yaani mtu asiwe na figisu zozote.
Tuje kwenye kichwa cha mada.
Umetudissapoint mzee, tena sana.
You are not in control of your wife.
Mswaada uliopitishwa na bunge, kwa msukumo mkubwa wa mke wako Salma Kikwete, wananchi hawakuufurahia.
Hiyo ni kuutumia vibaya umaarufu wa Jakaya Mrisho Kikwete.
Kwamba umaarufu wa Kikwete umetumika kujilimbikizia mali, hilo halijakaa vizuri.
Siingii kwenye uchambuzi wa mafao yenyewe, lakini kiuhalisia kuutumia umaarufu wa jina la Kikwete kujilimbikizia mali, ambazo ni kodi za wananchi, sipepesi macho huo ni ufisadi wa fedha za umma.
Namalizia kwa kusema, sijui kama swala la mafao ya wake za viongozi, kama lilivyosukumwa na mama Salma, je? Je, lilipita chujio la familia ya Kikwete?
Na je? Kikwete anaweza tokea hadharani kutetea hilo?
Wasalaam mzee Kikwete, bado una muda wa kudhibiti mihemuko ndani ya familia yako.
MODS naomba muirudishe hii mada kama mada inayojitegemea.Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, salaam. Mimi mmoja wa watu nilikuwa nakufuatilia sana na kukubali kisiasa, toka ukiwa waziri awamu za nyuma, Rais, na sasa Rais mstaafu.
Kwa sasa unlikuwa unafit sana nafasi ya Elder Statesman, mwanasiasa mwandamizi nchini, ambaye kwa uzoefu wake kulitumikia Taifa ungetumika kama point of reference kwa mambo yote nchini , kisiasa na kiuchumi.
Lakini cheo hiki cha Elder Statesman kina gharama ya kuishi above controversy, yaani mtu asiwe na figisu zozote.
Tuje kwenye kichwa cha mada.
Umetudissapoint mzee, tena sana. Muswada uliopitishwa na Bunge, kwa msukumo mkubwa wa mke wako Bi. Salma Kikwete, wananchi hawakuufurahia.
Hiyo ni kuutumia vibaya umaarufu wa Jakaya Mrisho Kikwete.
Kwamba umaarufu wa Kikwete umetumika kujilimbikizia mali, hilo halijakaa vizuri. Siingii kwenye uchambuzi wa mafao yenyewe, lakini kiuhalisia kuutumia umaarufu wa jina la Kikwete kujilimbikizia mali, ambazo ni kodi za wananchi, sipepesi macho huo ni ufisadi wa fedha za umma.
Namalizia kwa kusema, sijui kama suala la mafao ya wake za viongozi, kama lilivyosukumwa na mama Salma lilipita chujio la familia ya Kikwete? Na je? Kikwete anaweza tokea hadharani kutetea hilo?
Wasalaam mzee Kikwete, bado una muda wa kudhibiti mihemuko ndani ya familia yako.