Mafao wanayopata wenza wa viongozi wakuu wastaafu ni kufuru

Mafao wanayopata wenza wa viongozi wakuu wastaafu ni kufuru

Mimi ndiyo maana nasema siku zote; ukipata nafasi ya kuiibia hii serikali, wewe iba tu! Na ukipata mwanya wa kukwepa kodi, usijiulize mara mbili! Wewe kwepa tu. Maana hakuna namna nyingine.

Haiwezekani watu wachache waishi kama wako peponi, halafu wale walio wengi waishi kama wako jehanamu.
 
Ndio maana wanahimiza sana maskini walipa kodi watunze amani ili waendelee kufaidi wasivyovitolea jasho.

Kama mke wa rais mstaafu analipwa mke wa Kikwete anatafuta nini bungeni! Wanakula na kukwangua sufuria kabisa.
huyo mama sumu kabisa na mashavu yake kama vitumbua.

ndiye wa kwanza kuomba bungeni malipo kwa wake za wastaafu.
kana kiu na hela kama kamelogelezewa,fikiria first lady mstaafu bado unagombea ubunge,ni dalili ya nini hii!!!!
 
Mimi ndiyo maana nasema siku zote; ukipata nafasi ya kuiibia hii serikali, wewe iba tu! Na ukipata mwanya wa kukwepa kodi, usijiulize mara mbili! Wewe kwepa tu. Maana hakuna namna nyingine.

Haiwezekani watu wachache waishi kama wako peponi, halafu wale walio wengi waishi kama wako jehanamu.
Coment za kijinga hizi, Vipi watu mfano wanao chukua Rushwa, wanaruhusu hadi Madawa ya Binadamu au mifugo yalio Expire yanaingia kwenye mzunguko wa kuuzwa na sisi sisi tunaedna kununua ba kutumia. Siioendi hii Serikali ila siwezi shangilia upigaji, kuna upigaji unidhuru mimi moja kwa moja. Tuache ujinga.

Barabarani hatutaki kutoka tumekaa kuandamania Jf,
 
Back
Top Bottom