Mafia: Watu 7 wafariki dunia baada ya kula nyama ya Kasa

Mafia: Watu 7 wafariki dunia baada ya kula nyama ya Kasa

Inawezekana hao kasa wapo jamii nyingi wapo wanaoliwa na wengine hawaliwi na ili kuwagundua inahitaji ujuzi wa wale wanaowajua vyema na ukizingatia kasa ni miongoni mwa viumbe vilivyopo hatarini kutoweka duniani basi uenda wale wanaoliwa wamebaki wachache sasa wale wenzangu na mie kwa sababu ya uchu wao wanajikamatia tu na kuwafakamia pasipo tahadhari ndio maana nikasema waachane na kitoweo hicho.
Hapo nimekupata. Kulingana na Charles Darwin, species za viumbe huendeleza njia ya kujilinda vizazi vyao, zile aina ambazo hufanikisha kuendeleza aina ya mechanism itayakayofanya ziishi ndio zitabaki. Kasa walipoanza kupungua kwa kuliwa, wakadevelop sumu. Waliokosa sumu wameliwa ndio wanaelekea kuisha, wenye sumu wameanza kuongezeka kwenye population sample. Miaka kama 300 ijayo kasa wote watabaki wenye sumu. Mfano sasa kadri ya hizi taarifa kuongezeka basi watu watakuwa discouraged kula kasa na hivyo wataongezeka.

Na kwa kuzingatia hawa wako hatarini kutoweka basi ni rare, wavuvi wakongwe ndio wanajua kuwatofautisha
 
Embu wekeni na picha za hao mkunga na bunju
Screenshot_20230313-174238.png

👆Bunju anakuwa kama chura fulani na ana miba kibao

bfff93866fc00e9a.jpg

👆mkunga kama nyoka wapo wanatishia kinoma Kuna wengine ni jamii ya nyoka wa bahari ukileta Tamaa ukafiria mkunga ukamla ndo kwisha habari yako...Kuna wavuvi wanagonjwa na wale nyoka bahari wakifiria ni mkunga
 
Kasa ,bunju na mkunga hao Wana species mbalimbali kama hauna utaalamu nao usije ukala ..wapo wenye sumu na wasio na sumu aisee ni hatar haswa bunju anakuondoa Maisha dk 5 hazifiki.

Samaki kama hao Wana kama mushkeri hawaelew mi binafsi siwez kula.
please come again hapo kwenye mkunga, mtaam mimi huyo nimemla sana tu sjadhurika labda nimekula asie na sum hao bunju na kasa sijawah kuwala na sitarajii
 
Hapo nimekupata. Kulingana na Charles Darwin, species za viumbe huendeleza njia ya kujilinda vizazi vyao, zile aina ambazo hufanikisha kuendeleza aina ya mechanism itayakayofanya ziishi ndio zitabaki. Kasa walipoanza kupungua kwa kuliwa, wakadevelop sumu. Waliokosa sumu wameliwa ndio wanaelekea kuisha, wenye sumu wameanza kuongezeka kwenye population sample. Miaka kama 300 ijayo kasa wote watabaki wenye sumu. Mfano sasa kadri ya hizi taarifa kuongezeka basi watu watakuwa discouraged kula kasa na hivyo wataongezeka.

Na kwa kuzingatia hawa wako hatarini kutoweka basi ni rare, wavuvi wakongwe ndio wanajua kuwatofautisha
Chenga
 
Mpaka muda huu watu sita wamefariki dunia baada ya kula nyama ya kasa kisiwani Mafia wakiwemo watoto wawili ambao ni ndugu huku baba yao na mama yao wakiwa wapo hospital hapa Mafia wamelazwa.

Taarifa zinakuja sababu bado huduma inaendelea watu ni wengi waliokula taarifa inakuja ishazikawa miili ya watu watatu, bado watatu.
Jamani wamasai wamefanikiwa kuhama na ng'ombe wao hadi maeneo yasiyo na ng'ombe. Inakuwaje watu bado wanakula vitu visivyoeleweka?
 
Back
Top Bottom