Mafinga ni mji wa kibiashara lakini nyumba za kulala wageni nyingi ni chafu

Kama ni hivyo si mji wa kibiashara ni wa wakulima. Mji wa kibiashara hauwezi kuwa na gesti chafu.
Upo Sahihi lodge ni huduma ya kibiashara Sasa kama hazieleweki ni shida hiyo na mafinga huwezi kusema mji wa kibiashara ule ni mji wa viwanda na kilimo Cha miti angalia hata population bado ndogo watu wengi wanashinda misitun na viwandani na sehemu ya mji iliyochangamka ni jam bek ha nmb bank na njia panda ya madibila ila ukienda miji ya kibiashara Ina watu wa kutosha
 
Sikupingi bloangu
 
Tate Mkuu mapungufu hayo ni fursa kwako. Fanya mpango wa kujenga Hotel mitaa hio ambayo unaona huduma za wengine ni mbovu.
 
Jaribu kwenye lodge ya mbunge ile VAMOS,GARDEN PARK,VILLA PARK,WHITE,BRAVO,MERLIN,PORPCON,
Zipo Kinyanambo bila shaka. Wakati mwingine nitafanya hivyo mkurugenzi. Ila zile za pale stendi, naona nyingi hali ni tete.
 
Nikiwa mafinga Kuna lodge iko karibu na stendi huwa naitumia inaitwa itwalavano na Kuna nyingine ipo nyumba yake jina limenitoka kidogo Ila Kuna nyingine Kama merin n
Wanajitahidi kwenye usafi wa mablanketi. Maana kuna sehemu nililala siku kadhaa zilizopita, aisee lile blanketi lilifuliwa miezi kadhaa iliyopita.

Lilikuwa linatoa harufu kali mpaka basi. Namuuliza mhudumu kama kuna blanketi lenye unafuu, nikaona ananishangaa tu!
 
Upo anambra state kaka au uliwahi kaa naija.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…