Mafirst born muishi maisha marefu

πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒAcha kutuonea wivu itakuwa lastborn wee kazi yenu kususa tu ndo mnachojuaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
😹😹😹 khaaaa.!!
Wifi mi napenda kususa mpk nakera, halafu nna viburi vile vya uzima.!!

Nilikuwa nikisusa najifanya siongei na mtu ili nisioshe vyombo, basi sis anajua mbinu zangu atasema β€œOsha vyombo ndo ususe” 🀣🀣
 
πŸ˜‚πŸ˜‚Bora umekubali mdogowangu alikuwa analia ukipikwa ugali wa Dona ila lastborn hapana πŸ˜‚
 
Mtuache ma lastborn nyie endeleeni kujipakulia minyama tu.!!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚Bora umekubali mdogowangu alikuwa analia ukipikwa ugali wa Dona ila lastborn hapana πŸ˜‚
😹😹😹😹
Mimi nilikuwa sipendi kuoga ile asubuhi, mchana na jioni, basi bibi akija anamsema mama β€œMuacheni mtoto kila saa mnataka aoge ndiomana anakonda hanenepi” 🀣🀣

Basi hapo mimi bichwa hiloo nafurahi kweli, huyu bibi mpk leo nampenda.!!
Tupo km mtu na mwanae, kumjua bibi yangu mpk tukwambie.
 
Bibi yako katisha sana,yaani ukioga sana unakondaπŸ˜‚πŸ˜‚

Mwambie nimempenda bure
 
Uyo baba ni last born nadhani
 
😹😹😹 huyo bibi yangu ana vituko, ana vimaneno vingi halafu bibi wa mjini sasa.!!

Nikimuona huwa najiona mimi kashanipa vitabia vyake….!!
ila bora bibi wa hivyo anafurahi na wajukuu zake,kuna bibi wengine hawana kucheka wala kufurani na wajukuu zao ni visirani hatar yani
 
Walevi waheshimiwe mkuu, japo mimi sio mtoto wakwanza ni wa nane , wanne kutoka mwisho.
Mko dazani?? 😹😹
Ila wazee wa kichaga wanapenda chini khaaa.!! 🀣

Hapo kazaa kwa wamama tofauti tofauti, sijui wana shida gani?? Hawazalishi sehemu moja.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…