Mafirst born muishi maisha marefu

Mimi sio wa kwanza..... kwa me ndo first na naheshimiwa kama braza utafkr ndo kifungua mimba....

First born wapo wapambanaji na wasio wapambanaji.... Ila wengi wanajitahid hasa wakijua nyumbn hakuko sawa financially
 
Amina
 
Asante sana doktori kwa ufafanuzi wako mzuri,pamoja na ushauri wako mzuri sana juu ya wazaliwa wa kwanza kuepuka mambo ambayo yatakuwa sababu ya kuwarudisha nyuma

Lakn nakubaliana na wewe kabisa wazaliwa wa kwanza tunapigwa vita sana na ndugu,binafsi naweza sema kuna neema nyingi sana nilikuwa nizipate lkn ziliyeyuka pasipo kujulikana

Na niseme wazi kabisa ibada ninazojitahidi kuzifanya zinanisaidia sana ingawa sio mcha mungu kwa asilimia zote lkn naweza sema lau nisi gekuwa nagusa gusa mambo ya ibada huenda ningekuwa na wakati mgumu sana

Mwenyezi Mungu awasimamie wazaliwa wa kwanza wote,amini
 
Pole sana kwahiyo changamoto boss, ila siku zote ndugu kwa upande wa mama huwa wanashikamana sana
Mi madogo walionifuata upande wa baba wote wamenikataa kisa wanazani mimi ndo chanzo cha mama yao kuachika hivo sina mpango nao..

Ila huyu dogo wa mama mmoja ni show show namlisisha kila kitu
 
Brother wa kutaka kukaa na totozii kwenye bus.......

hbr za huko ?
Sasa sijui nikirudi tena kituo changu cha kazi this time je ntakuwa mwenye bahati ya kuwa na demu au mwamba tena? Muda utaongea

Fresh kabisa Mungu anasaidia,sijui ww boss wangu
 
Sasa sijui nikirudi tena kituo changu cha kazi this time je ntakuwa mwenye bahati ya kuwa na demu au mwamba tena? Muda utaongea

Fresh kabisa Mungu anasaidia,sijui ww boss wangu
Ni njema broh.....

kwanini totoz ili tuu upate kuchakata? 😝

Hamna hata mwamba fresh tuu mnaweza peana connection 👊
 
Ni njema broh.....

kwanini totoz ili tuu upate kuchakata? 😝

Hamna hata mwamba fresh tuu mnaweza peana connection 👊
Lengo wala sio kuchakata boss wangu,napenda tu nikiwa na ua pembeni safar inakuwa haiboi wala haichoshi,safar ya masaa 15 mzee inachosha sana ujue

Ni kwel lkn hakuna uhakika wa kila mtu utakaye kutana nae kuwa mnaweza kukonect ,inategemea kwakweli,yeyote ninayekutana nae safarini namchukulia kama abiria mwenzangu tu
 
Aseeh una uelewa nimeku notice japo sijui nyuzi zako zingne

Najua Hilo tunapenda tu catch feelings na nini, ukute mtoto na ananukia ile cool en classy haboi kabisa

Ila unaonekana unaenda safar ndefu kidogo aseeh so mchezo 15hrs......

Kwetu hapo ten au chini ya hapo
 
NIna nyuzi kwenye kurasa 11,na kila kurasa inakaa nyuzi 20 so jumla nina nyuzi kama 220,utakutana nazo tu inshallah

Yani ukiongeza masaa 3 tu kama ni ndege nafika marekani hahaha

Yeah wametoka kwenye ubavu wetu boss,kama adam tu alikuwa peke yake akaletewa hawa,je mm sistahili kampani ya dem pembeni?
 
Unastahili
Mkuu maake ndo udhaifu wetu ulipo
 
Namshukuru Mungu mimi pia ni mzaliwa wa kwanza kwa mama yangu. Tangu nikiwa mdogo nilikuwa napambana sana hasa baada ya kuona mama yangu alivyokuwa anapambana. Nilikuwa namsaidia sana kazi mbali mbali hadi zq Kuuza pombe nikiwa likizo. Nimeuza sana pombe. Kupika pombe nk.

Baada ya kumaliza Form six nilichaguliwa chuo kikuu kubwa Dar. Kwakuwa familia yangu najua kipato chetu ni duni nilipoanza tu kupata bumu cha kwanza niligawa iende nyumbani. Nikawa ndo utaratibu wangu kila nikipata bumu lazima nigawe iende nyumbani. Ilisaidia sana kubadilisha maisha pale nyumbani. Mama akaacha kuuza pombe za kienyeji akafungua duka. Na huduma nyingine.

Nilipo maliza chuo kikuu mshahara wa kwanza nilianza kulipa ada kwaajili ya wadogo zangu. Na nimeendelea kuwasupport hadi walipo anza kujitegemea.


Watoto wa kiume wa kwanza tunakuwa na majukumu mengi sana. Tunashukuru wale ambao mnatukumbuka na kutuombea
 
Mi kwa upande wangu nakubali kidogo na pia nakataa sana
Kwanini nakataa?
Wa kwanza kuzaliwa wengi ni watoto chaguo la wazazi na hiyo nafasi wanaitumia vibaya sababu wanadekezwa na kupewa nafasi hata kama wanakua hamnazo na wengi hasa akiwa wa kiume wanakuwa tegemezi mpaka kufa kwake na kama kamkuta baba ana ajira rasmi ndio kabisa wanashindwa kujishikilia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…