Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatandika na vitambaa vya kushona..!!Mimi bado mshamba, ninakalia makochi ya mbao tena mninga safi, nikiyawekea mito ya ngozi utayapenda bure. Watoto wanachezea mpaka wanapata akili bado yamo.
Mimi bado mshamba, ninakalia makochi ya mbao tena mninga safi, nikiyawekea mito ya ngozi utayapenda bure. Watoto wanachezea mpaka wanapata akili bado yamo.
Makochi ya mafundi wa Bongo mengi hata ukikaa hu-balance vizuri. Unajikuta unainamia kwa mbele zaidi au kwa nyuma zaidi.Mimi niliisha apa kuwa sitanunua "tenga la nyanya" lililofunikwa vizuri na kitambaa na kuwa kochi. Nitaendelea kukalia mninga wangu na kubadilisha mito tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakiwa na huruma kidogo wanaweka maboksi badala ya magezeti😀😀Ndani si wanajaza magazeti, matambara ukiona wanavyotengeneza kwa macho huwez toa hela
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio ziko kochi za kiswahili mitaani hadi 5mil. ndio ninazozungumzia! Kwa macho utadhani imported kumbe kanjanja ndo nimesema wamuogope Mungu!Wewe ulianza story yako kwa ku refer mafundi wa hapa bongo, ndio maana wadau wakakushangaa kwa kutaja hiyo bei ya 5ml
Hilo ni kochi au bench?mimi nakalia kochi la mninga lina miaka zaidi ya arobaini sasa!
Limechongwa miaka ya 70 na bado liko imara! Linaweza kutumika hata miaka 30 ijayo!
Mninga kweli kweli. Kitu kama chuma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio wote. Me sofa zangu nafanya kubadilisha kitambaa tu na pale ninapotaka style mpya. Fundi wangu yupo tanga sabasaba pembeni ya tanga pazuri Ana center kubwa kiasi anaitwa Benjamin makoko. Huwa naingia gharama za usafiri za kuniletea popote nilipo maana huwa sikai Tanga.
Unapiga misasa mingapi on average hizo mbao zako hadi kutoa kitu chenye hadhi ya 5m? Kwenye hio karakana yako kuanzia namba 60?Tatizo ni kwamba nyinyi hamfiki bei , una pesa ya tecno ila unataka kitu chenye ubora wa Iphone..haipo hiyo mkuu
Ninasema hivyo kwasabu nina ofisi ya furniture , chini ya mil 2.. Huwez pata sofa ya uhakika wa kudumu walau miaka 5 na kuendelea ...mwenye mil 1 atapata bidhaa ya mil 1.. Mwenye mil 3 atapata bidhaa ya mil 3 ... Iko hvyo
Sent using Jamii Forums mobile app