Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

Wakuu sim yangu samsung note 2 inazingua kuwasha ni meenda kuiflash lakini bado na anae flash ana niambia inaflash mpaka ina maliza lakini iki waashwa bado ina ishia kwenye boot mode kaiflash mara 3 lakini bado msaada wenu
 
Wakuu sim yangu samsung note 2 inazingua kuwasha ni meenda kuiflash lakini bado na anae flash ana niambia inaflash mpaka ina maliza lakini iki waashwa bado ina ishia kwenye boot mode kaiflash mara 3 lakini bado msaada wenu
Aisee hiyo kali mbona product Name haipo nashindwa kushangaa 'Product Name please' nikusaidie
 
Hivi kwa uzoefu ulionao nini hasa sababu ya simu kuchaji mkuu hazole1
Mara nyingi tatizo huwa linaanza simu ikiingia kwenye maji.
Au kuna diod inakuwa inashoti kwasbabu diod nyingi za kwenye chaji kikawaida inabidi iwe inapeleka moto tu na hailudishi nyuma.

Au tatizo linaweza kuwa kwenye prosesa kikawaida simu hadi ikuonyeshe inachaji kwenye ic ya chaji kunakuwa kunanjia tatu 1 inatoka kwenye syestm chaji ya pili inaenda kwenye betri ya tatu inaenda kwenye prosesa na
Hiyo inakuwa kama sensa na ndio inakuambia saizi betri lipo asilimia ngapi.
Sasa hiyo njia ya sensa ikipiga shoti inakuwa haitengenezeki labda hadi iende kiwandani wakabadilishe prosesa.
 
Asante sana mkuu hazole1 kwa somo zuri


Mpaka sasa bado naitizama Huawei kama nimeshindwa kabisaaa kuisolve[emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Mafundi shkamooni!!
Mm nauza betrii za Smart, naomben mnisaidie " KWANN SIMU ZA WATEJA ZINAMALIZA MOTO HALI YA KUA BETRII NAZIAMIN NI NZURI NA MPYA?? MOTO UNAISHA WENYEWE!!
 
jaribu file lenye details hizo hapo chini huwa lina fyatua kabla ya kutumia 'sometimes efs do corrupt try to repair efs first before flashing with that type of file' AP_N7100XXUEM16_CP_N7100XXEM16_CSC_N7100XAEM16_BY_WVAZ_DINK
Mkuu mimi nifundi lakini kuflash sijui lakini nataka kujifunza hayo mambo ya softwaer kiundani zaidi nime mpelekea fundi mwenza ngu ambae huwa nampelekea simu za kuflash lakini kachemka ikabidi!niende kwingine nao watatu wamechamka so hilo faile ullio nitumia nashindwa kuli tumia asante kwa msaada wako maana mimi elim yangu upande huwo ni kutumia zile MTK n.k
ninge penda ushauri wako mkuu
 
sijakutumia file nimekutumia details za file ili u download na liko kwenye winar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…