ninacho nichek 0683696728 ubungoMwenye lg3 screen nahitaji
google :samsung sm-b350e charging without charger solutionsWakuu msaada,kuna simu imenizingua hapa,nimehangaika nayo ni samsung sm-b350e inajichaji yenyewe tu
Display wana komaa kwenye 250,000 Tzs bila matengenezoWakuu nina galaxy s4 imekufa display naomba kujua gharama za utengenezaji
Hapo kuna dayd au ac fulan unatoa mbona chapNiliipeleka kariakoo wakaniambia niitupe.
Nikarudi nikamshauri mteja ahifadhi Wenda nikapata suluhu siku moja
[emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji2]
Kesho yake akaja nayo imepona kuna fundi kitaani mbali na nilipo kaiponyesha.
Nikagundua kitu mafundi wengi hawapendi simu pasua kichwa hasa kariakoo.
Kesho naenda kumuuliza nini lilikuwa tatizo yule fundi.
Hardware ustahimilivu.[emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Sent from my Vodafone 785 using JamiiForums mobile app
Flash bt why imewakalumia yangu 620 inawaka sema inaandika Unable to find a bootable option anaejua jinsi ya kusolve
Nilipeleleza hilo mkuu nikagundua kama unavyosema ndilo lilikuwa suluhu.Hapo kuna dayd au ac fulan unatoa mbona chap
inawaka inakuja neno nokia then ina stop hapo baada ya nokia inakuja maandishi haya "unable to find a bootable option"Flash bt why imewaka
yaani tatizo lako km langu vile gharama elfu 80 [emoji19] [emoji19]Mambo vp mkuu
Nina tecno W4 ilizima gafla nikiwa naangalia video haionyeshi chochote kwenye screen ila nikiichomeka charger inawasha taa nyekundu tatizo linaweza kuwa lipi
mkuu acha kumdanganya hujui matatzo ya tecno mm ndo nafahamu kuwa ni saket[emoji19]Nadhani tatizo ni Betri charge yake imeisha sana imepelekea kwamba hiyo simu yako inashindwa kuli charge li boost kwa kutumia kobe km huna kobe julisha nikupe maelekezo namna ya kutengeneza kobe yako
Yangu imebaki vilevile tu imeshindikana kabisayaani tatizo lako km langu vile gharama elfu 80 [emoji19] [emoji19]
Mimi nimemjibu km fundi siyo km mteja ina maana wewe simu ikiharibika suluhisho pekee ni kubadilisha 'circuit'mkuu acha kumdanganya hujui matatzo ya tecno mm ndo nafahamu kuwa ni saket[emoji19]
Hiyo yawezekana ikawa n switch imeholdHabari za masiku chama KIMOJA
Bila shaka mu wazima nyoote
Wakuu kuna simu aina ya DISKO tach inajiwasha yenyewe kuna ambaye alishakutana na simu hii na akalitatua?
Ni kwa namna gani.
Asanteni
Nimechomoa switch bado tatizo lipo.Hiyo yawezekana ikawa n switch imehold
Ok labda hapo ni water damage inabd uisafishe then uifanyie hot blowing saket yakeNimechomoa switch bado tatizo lipo.
Na ukipima na mutimetter inaonyoesha inashort sehemu.
ukiweka betri kama sec10 chaj ic na R2 zinapata moto ukizitoa bado sehemu ulipotoa pana kuwa na moto ukiweka betr tena.
Na shott inabak pale pale.
Nimeivua kila kitu na kuipiga mswaki lakin wapi mkuuOk labda hapo ni water damage inabd uisafishe then uifanyie hot blowing saket yake
Mkuu nina tecno phantom Z imevia kioo. Inaweza ni cost kiasi gani repairing yake?Ok labda hapo ni water damage inabd uisafishe then uifanyie hot blowing saket yake
iyo ni system charge haiko sawa
Mh! Na moto umeipgaNimeivua kila kitu na kuipiga mswaki lakin wapi mkuu