Mafunzo ya kilimo cha kisasa cha greenhouse

Green house effect ni matokeo ambayo hulipah joto dunia, hii husababishwa na gesi joto na gesi mkaa hususani , methane, kabonidayoksaidi, mvuke wa maji (water apor) na oksaidi za naitrojeni ambazo hutokea kiasili au kwa matendo ya binadamu lakini pia CFCs... Kama gesi mkaa zitazidi kuwa nyinyi ndivyo matokeo hayo huzidi kuwa makubwa yaani matokea ya joto kuongezeka kuzidi kutokea amayo huleta ongezeko la joto.
 
Matokeo ya nyumba za kijani mkuu

NI MADHARA AMBAYO HUWA YANAJITOKEZA KATIKA SEHEMU MBALIMBALI ASA KATIKA KUTA ZA NYUMBA,KAMA ULISHAWAHI KUONA RANGI KIJANI FULANI IKIWA IMETANDA KATIKA KUTA YA NYUMBA NDO GREENHOUSE EFFET YENYEWE IYO, MARANYINGI HUWA INATOKEAGA JUU HASA KWENYE MAJENGO MAREFU, YENYEWE HUWA INASABABISHWA NA COMBINATION YA GAS AMBAZO ZINAPATIKANA KATIKA ATMOPHERE, HIZO GAS ZIKICHANGANYIKA NA AIR NDO IYO EFFECT HUTOKEA,nimesahau nigas gani but jitahdi kutafuta

Mmepuyanga
 
Green house effect are those effects due to green house gases,such as chrolofluoro carbon, carbondioxide that emmited form large industrial area .That green house gases cause global warming and natural calamities

Very shallow explanation
 
Greenhouse effect

The greenhouse effect is a natural process that warms the Earth’s surface. When the Sun’s energy reaches the Earth’s atmosphere, some of it is reflected back to space and the rest is absorbed and re-radiated by greenhouse gases.

Greenhouse gases include water vapour, carbon dioxide, methane, nitrous oxide, ozone and some artificial chemicals such as chlorofluorocarbons (CFCs).

The absorbed energy warms the atmosphere and the surface of the Earth. This process maintains the Earth’s temperature at around 33 degrees Celsius warmer than it would otherwise be, allowing life on Earth to exist.

Enhanced greenhouse effect

The problem we now face is that human activities – particularly burning fossil fuels (coal, oil and natural gas), agriculture and land clearing – are increasing the concentrations of greenhouse gases. This is the enhanced greenhouse effect, which is contributing to warming of the Earth.

Greenhouse effect

Step 1: Solar radiation reaches the Earth's atmosphere - some of this is reflected back into space.

Step 2: The rest of the sun's energy is absorbed by the land and the oceans, heating the Earth.

Step 3: Heat radiates from Earth towards space.

Step 4: Some of this heat is trapped by greenhouse gases in the atmosphere, keeping the Earth warm enough to sustain life.

Step 5: Human activities such as burning fossil fuels, agriculture and land clearing are increasing the amount of greenhouse gases released into the atmosphere.

Step 6: This is trapping extra heat, and causing the Earth's temperature to rise.

Jibu hili hapa
 
NI MADHARA AMBAYO HUWA YANAJITOKEZA KATIKA SEHEMU MBALIMBALI ASA KATIKA KUTA ZA NYUMBA,KAMA ULISHAWAHI KUONA RANGI KIJANI FULANI IKIWA IMETANDA KATIKA KUTA YA NYUMBA NDO GREENHOUSE EFFET YENYEWE IYO, MARANYINGI HUWA INATOKEAGA JUU HASA KWENYE MAJENGO MAREFU, YENYEWE HUWA INASABABISHWA NA COMBINATION YA GAS AMBAZO ZINAPATIKANA KATIKA ATMOPHERE, HIZO GAS ZIKICHANGANYIKA NA AIR NDO IYO EFFECT HUTOKEA,nimesahau nigas gani but jitahdi kutafuta
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Acha umbumbumbu kima wewe!

kama hujui kitu kaa kimya hapa ni home of great thinkers, nyie ndio mnaoipunguzia hadhi Jf
 
NI MADHARA AMBAYO HUWA YANAJITOKEZA KATIKA SEHEMU MBALIMBALI ASA KATIKA KUTA ZA NYUMBA,KAMA ULISHAWAHI KUONA RANGI KIJANI FULANI IKIWA IMETANDA KATIKA KUTA YA NYUMBA NDO GREENHOUSE EFFET YENYEWE IYO, MARANYINGI HUWA INATOKEAGA JUU HASA KWENYE MAJENGO MAREFU, YENYEWE HUWA INASABABISHWA NA COMBINATION YA GAS AMBAZO ZINAPATIKANA KATIKA ATMOPHERE, HIZO GAS ZIKICHANGANYIKA NA AIR NDO IYO EFFECT HUTOKEA,nimesahau nigas gani but jitahdi kutafuta
opp
 
Greenhouse effect

The greenhouse effect is a natural process that warms the Earth’s surface. When the Sun’s energy reaches the Earth’s atmosphere, some of it is reflected back to space and the rest is absorbed and re-radiated by greenhouse gases.

Greenhouse gases include water vapour, carbon dioxide, methane, nitrous oxide, ozone and some artificial chemicals such as chlorofluorocarbons (CFCs).

The absorbed energy warms the atmosphere and the surface of the Earth. This process maintains the Earth’s temperature at around 33 degrees Celsius warmer than it would otherwise be, allowing life on Earth to exist.

Enhanced greenhouse effect

The problem we now face is that human activities – particularly burning fossil fuels (coal, oil and natural gas), agriculture and land clearing – are increasing the concentrations of greenhouse gases. This is the enhanced greenhouse effect, which is contributing to warming of the Earth.

Greenhouse effect

Step 1: Solar radiation reaches the Earth's atmosphere - some of this is reflected back into space.

Step 2: The rest of the sun's energy is absorbed by the land and the oceans, heating the Earth.

Step 3: Heat radiates from Earth towards space.

Step 4: Some of this heat is trapped by greenhouse gases in the atmosphere, keeping the Earth warm enough to sustain life.

Step 5: Human activities such as burning fossil fuels, agriculture and land clearing are increasing the amount of greenhouse gases released into the atmosphere.

Step 6: This is trapping extra heat, and causing the Earth's temperature to rise.
[emoji310] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Hello jamiiforums member leo nimeona niwaletee habari njema ihusuyo kilimo cha kisasa yaani GREEN HOUSE or NET HOUSE kwa sasa kwenye kampuni yetu tunazalisha net za green house zenye ukubwa wa 5.5x30m kwa Tsh 250,000/- unaweza kutumia miti mirunda kujengea green house yako gharama zakuinstall shambani inategemea na ukubwa wa eneo lako pia tuna shed net 75% au 55% zenye ukubwa wa 2x100m au 4x50m tusha jenga nyingi sana Morogoro,DSM nk Karibuni sana
 
Ndio umetumwa uje utangaze hivyo???mteja atakuamini vipi?hakuna jina la mtengenezaji,contact hata kapicha????Nikilinganisha na Wakenya wanavyotangaza bidhaa zao kweli Tanzania safari tuliyonayo bado ni ndefu saana
 
Kweli mkuu yani wafanyabiashara wa kibongo wako under standard sana, utafikiri amelazimishwa kufanya biashara, na hii yote unakuta mtu anafanya biashara ya kitu ambacho hayuko competent nacho na hataki kujifunza namna bora ya kuitangaza bidhaa yake.
 
Usilinganishe standard ya Matangazo ya Wakenya kana kwamba ndiyo standard.Mleta Uzi ameonesha matokeo ya mfumo wa eliminate yetu,kuanzia ya shule za bite na zile zingine.Tumshauri Ajazie nyama au aweke details zaidi.
Kumponda mleta Uzi hila kumpa maelekezo stahiki pia ni Kuonesha Mapungufu ya mfumo wa Elimu.Haina tofauti na MTU anayepinga mambo bila kuleta mbadala.
 
Kampuni ya A to Z Textile Mills ltd ndio watengenezaji wa net za green house so garama inakua nafuu kwasabab tunatengeneza wenyewe
 
Attachments

  • IMG_20161128_141343.jpg
    IMG_20161128_141343.jpg
    192.9 KB · Views: 116
Hello jamiiforums member leo nimeona niwaletee habari njema ihusuyo kilimo cha kisasa yaani GREEN HOUSE or NET HOUSE kwa sasa kwenye kampuni yetu tunazalisha net za green house zenye ukubwa wa 5.5x30m kwa Tsh 250,000/- unaweza kutumia miti mirunda kujengea green house yako gharama zakuinstall shambani inategemea na ukubwa wa eneo lako pia tuna shed net 75% au 55% zenye ukubwa wa 2x100m au 4x50m tusha jenga nyingi sana Morogoro,DSM nk Karibuni sana

Nakushauri weka namba za simu,mahali mlipo na maelezo ya huduma za ziada kama mnazo
 
Hello jamiiforums member leo nimeona niwaletee habari njema ihusuyo kilimo cha kisasa yaani GREEN HOUSE or NET HOUSE kwa sasa kwenye kampuni yetu tunazalisha net za green house zenye ukubwa wa 5.5x30m kwa Tsh 250,000/- unaweza kutumia miti mirunda kujengea green house yako gharama zakuinstall shambani inategemea na ukubwa wa eneo lako pia tuna shed net 75% au 55% zenye ukubwa wa 2x100m au 4x50m tusha jenga nyingi sana Morogoro,DSM nk Karibuni sana

Hujataja bei za 'shed net'.
Bei tafadhali, bei za 'shed net'.
 
Back
Top Bottom