Kwa wale wanaofikiria kuomba mikopo benki au shirika lolote linalotoa mikopo kwa wajasiriamali wadogo, mimi ninaandika project proposals kwa ajili ya kuombea mkopo kwa ajili ya mradi wako wa mkaa. Proposal hii inakuwa na maelezo yotekuanzia mchanganuo wa mkopo wenyewe, jinsi ya kuuomba, kuwashawishi, utekelezaji wake, urudishwaji wa mkopo nk.
Document hii nakuandikia kwa sh. 60,000 na inakuwezesha kuingia nayo sehemu yoyote wanapotoa mikopo na wakakupa kutegemea na masharti ya hiyo sehem unayoombea mkopo. Kwa ambaye anampango huo asisite kuwasiliana nami..