GE2025 Mafuriko ya askari polisi na wanajeshi barabarani leo kulikoni?

GE2025 Mafuriko ya askari polisi na wanajeshi barabarani leo kulikoni?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wanajaribu kuuza hofu
Watu hatuogopi kuweka kwenye idadi ya waliokufa wakiwa wanaandamana wao waandae tu risasi za kutosha ila wakianzisha vurugu wakishaporwa silaha zao ndio wataelewa show ipoje maana si wanajivunia silaha zao sasa wataporwa hizo silaha halafu waone jinsi gani inakua unapopambana na upande wa pili uliobeba silaha
 
Screenshot_2025-09-17-16-59-25-459_com.whatsapp.jpg
 
Wakuu habari.

Haya mafuriko ya manjagu na JWTZ barabarani leo Chang'ombe-Temeke kmakundi kwa makundi kuna usalama? Au ndo mambo ya uchaguzi na maandamano?.

#kazi ipo
Wameji choresha bora wangetulia wasubiri hio siku.Uki angalia walio pita mwanza wakitoka watu robot ya mwanza hawataweza wadhibiti kabisa
 
Wakuu habari.

Haya mafuriko ya manjagu na JWTZ barabarani leo Chang'ombe-Temeke kmakundi kwa makundi kuna usalama? Au ndo mambo ya uchaguzi na maandamano?.

#kazi ipo
ndio wavunjifu amani wenyewe hao na hao ndio wachochezi namba moja
 
Hayo ni matembezi ya kawaida ya ukakamavu kwa Vyombo vya Ulinzi na Usalama. Wananchi tusiwe na hofu, tuendelee na shughuli zetu za kila siku.
 
Wakuu habari.

Haya mafuriko ya manjagu na JWTZ barabarani leo Chang'ombe-Temeke kimakundi kwa makundi kuna usalama? Au ndio mambo ya uchaguzi na maandamano?.

#kazi ipo
Waacheni waendelee Wanatisha watu - wamama wote hawatatoka siku hiyo ni ya VIJANA.
AKA - SIKUKUU YA VIJANA KITAIFA 29th October
 
Wenye mamlaka ya mwisho ni wananchi na katiba ndo imewapa ayo mamlaka
 
Kwani wakizunguza ndo aanazuia nini?

Waone tunavyofanya kama Nepal hiyo tarehe 29

Ni mwendo wa kuwakamata viongozi, kuchoma moto nyumba zao na familia zao.

Kama wanaweza walinde nyumba za wana CCM na viongozi wao nchi nzima
 
Kutakuwa na ounguani wa akili walioshauri kuwa wafanye hivyo ili kuwatisha wananchi!! Ni upumbavu mtupu!
JWTZ wanaheshimiwa na wananchi, wasijiingeze kwenye huo uwendawazimu. Kuwalazimisha JWTZ kwenye mambo ya kijinga, ni kuwavunjia heshima.
 
Back
Top Bottom