GE2025 Mafuriko ya askari polisi na wanajeshi barabarani leo kulikoni?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kule mara maasai wa Kenya Wana ingiza mifugo yao Nchini Tena mbugani miaka nenda rudi. Rwanda the same.

Mtwara je , Magaidi wanaingia na kutoka

Majambazi ya Kenya yanakuja kuua wafanyabiashara matajiri na wenye kuleta ushindani wa viwanda vya Kenya na kurudi mchana siku hiyo hiyo .

Acheni siasa nchi Iko katika Hali mbaya
Kwahiyo mkuu changamoto za mipaka na majirani ndio unataka JWTZ lifanye kazi? Uko serious? Yaani Jeshi liende kupambana na wafugani wa Kimasai kutoka Kenya? Huko Rwanda unakosema nako ni Ishu ya JWTZ au Idara ya uhamiaji? Unajua ni Watanzania wangapi wanaoishi mipakani na hizo nchi wameingia nchi jirani wanaishi huko?
Nipe data current za Mtwara kuthibitisha unachoongea kuwa Magaidi wanaingia na kutoka. Leta facts ntakujibu.
 
Bandari yetu inamilikiwa na Oman jwtz wamelala usingizi
Twiga wanapanda ndege jwtz wamelala usingizi
Madini Tanzanite inatoroshwa jwtz wamelala usingizi
Ngorongoro ardhi ya Masai inamilikiwa na UAE, Kuna minara Yao jwtz wamelala usingizi
Watanganyika wenzetu wanaotekwa na kuuliwa JWTZ wamelala usingizi

Hao wanalinda mipaka Gani?
Au hujui majukumu ya jeshi la wananchi kwenye katiba na yepi
Wewe ni wa kukaliwa kimya tu. So unataka Jeshi letu liwashe vifaru likamtoe Mwarabu pale Bandarini?
Huyo mwarabu amevamia Ngorongoro anaikalia kimabavu kama Idi Amini?
Kama kuna sehemu mkuu unajua Tanzanite inatoroshwa peleka taarifa Polisi itafanyiwa kazi.
Kama huoni mipaka iko salama mkuu basi, Mimi nilipo nakujibu kisha napata usingizi mzuri wa jioni.
 
Huna akili
Hujui kuwa kikatiba jwtz inapaswa ilinde mipaka, Rasimali na uhuru wetu.
Yaani jwtz ikiona hata kama Rais hafuati katiba linaweza kuchukua nchi na nchi ikipata democracy wanamkabidhi mwanasiasa.
 
Sawa sina akili, tuachane na mimi, tuachane na wewe pia. Tuongelee watu ambao wana akili katika nchi hii. Nitajie watu watatu tu wenye akili ambao wanaushari kama wako wa kutaka Jeshi lipindue serikali.
 
We unaishi wapi kama huwezi kujua kuwa zaidi ya 95% ya Watanzania wanataka nchi yetu iwe salama kwenye mikono ya jeshi letu jwtz
 
Unaweza kunipa sehemu unapotoa takwimu zako na mimi nikasome?
 
Wakuu habari.

Haya mafuriko ya manjagu na JWTZ barabarani leo Chang'ombe-Temeke kimakundi kwa makundi kuna usalama? Au ndio mambo ya uchaguzi na maandamano?.

#kazi ipo

Wametumwa na amiri Jeshi Mkuu .....!!

Uzuri wanafanikiwa kukamilisha lengo la Chadema la kuzuia uchaguzi. Siaamini kama raia wengi watatoka kwenye kupiga kura kama Wajeshi watakuwa mtaani.
 
Ni root match ina fanyika Tz nzima kila ijumaa acheni hizo mambo
Umerudia rudia root match. Hili neno halina maana.
Kwa English rahisi tu haiwezi kuwa root match. Bali ni Route March.
Nimeona na media kubwa kabisa zinaandika root match, hapo ndio nagundua nchi yetu Ina majanga sana
 
Sawa sina akili, tuachane na mimi, tuachane na wewe pia. Tuongelee watu ambao wana akili katika nchi hii. Nitajie watu watatu tu wenye akili ambao wanaushari kama wako wa kutaka Jeshi lipindue serikali.
Unapata wapi ujasiri wa kukomenti mashudu kwenye mtandao uliofungiwa na serikali yako, wewe ni chawa kichaa. Kama wewe una ujasiri wa kukaidi amri ya serikali vipi magenz? Nenda instagram au tiktok uone kama kuna genz anayelialia uoga
 
Umerudia rudia root match. Hili neno halina maana.
Kwa English rahisi tu haiwezi kuwa root match. Bali ni Route March.
Nimeona na media kubwa kabisa zinaandika root match, hapo ndio nagundua nchi yetu Ina majanga sana
Sawa mkuu
 
Wakuu habari.

Haya mafuriko ya manjagu na JWTZ barabarani leo Chang'ombe-Temeke kimakundi kwa makundi kuna usalama? Au ndio mambo ya uchaguzi na maandamano?.

#kazi ipo
Mange Kimambi anajua sana kuwajambisha hawa vilaza wa majeshi ya Tanganyika
 
Back
Top Bottom